Mtoto wa nzi
JF-Expert Member
- Jun 6, 2012
- 9,016
- 16,149
Kama inavyojieleza. Nimekumbana na hili tatizo kwenye hii aina ya simu ambapoa... Internal memory inapungua tu hata kama hauja download kitu baada ya muda unaona interna memory imepungua mb 5-10.