Tatizo la internal storage katikaTecno WX3P

Mtoto wa nzi

JF-Expert Member
Jun 6, 2012
9,008
16,134
Kama inavyojieleza. Nimekumbana na hili tatizo kwenye hii aina ya simu ambapoa... Internal memory inapungua tu hata kama hauja download kitu baada ya muda unaona interna memory imepungua mb 5-10.
Screenshot_20190208-172801.png
 
Iyo ni kawaida tuu. Apps zina generate Logs na kujitanua, na data na caches. Hakuna tatizo hapo

Push to Start
 
Back
Top Bottom