HPC 1
Member
- Jan 7, 2014
- 83
- 25
Habari zenu waungwana ninatatizo na simu yangu aina ya galaxy s3. Tatizo lipo katika maswala ya intanet enabling kuna kipindi simu inagoma kujiunga na intaneti na hata kitufe cha mobile data kinakuwa kimeback off japo kuwa nimekiweka on. Simu inatumia android 4.1.2 naomba msaada wenu kwenye hili.