deejaywillzz
JF-Expert Member
- Mar 11, 2014
- 637
- 224
apple id inaweza kutoka ina inahitaji umakini wa hali ya juu mfano iphone 4 inawezekana kabisa kutoka na ipad zenye sehemu ya kuweka lini kuna baadhi ya server za kubypass icloud kupitia hii unaweza kuona apple id yake na ukaweza kutoa nyingi zinaitaji donation ya $5 hii wanachofanya kwenye server wana crash setup.app ndio utaweza kubypass au kutoa kabisa kama utaweza kureplace hii inaitaji tools nyingi kidogo pia iko nyia ya hardware unatoa baadhi ya resistor ambazo zitachange board id yaan kuchane ipad identity itakuwa wi-fi ipad na sio 3g tena hii mimi nimeshafanya kwenye ipad 2 3g nankafanikiwa pia kunazingine za wizi lakini hazina pass code ila zina icloud pia unaweza kuturn off find my iphone or ipad device kama ikiwa ios 7-8.1 kama ni zaidi ya hapo itabidi ndio kazi labda kama huyu mtu ameijailbreak ili upate root access kuna code unafuta then find my iphone or ipad itajiturn off pia hata kama inapasscode pia unaweza kubypass
Hata mimi nimesikia kuhusu hizi server ila hazikai muda mrefu zinafungwa