Tatizo la iCloud kwenye iPhone 4s, naomba msaada

Mkuu kuna theory nyingi sana kwenye mitandao zinazoelezea uwezekano wa kupaypass icloud lock lakini hadi sasa ni iphone 4 pekee na baadhi ya ipad za nyuma ambazo watu wamefanikiwa kuzitoa lock

Hayo mambo ya kubadili sijui chip na nani ni dhana tu mkuu, na utapata wapi hizo chip za kureplace? Labda unadili motherboard yote ambapo ni sawa na kununua simu mpya sasa

Nakuhakikishia akitokea mtu anaweza kutoa hii makitu atapiga sana hela mwanzoni na dunia nzima tutajua within a day

Naamini ipo siku itawezekana lakini kwasasa ni dhana tu
hii sio dhana kama ww unavyofikilia mm nimeshafanya hiyo ya hardware na nimefanikiwa nimesema kuchange board id maana yake ni kuchange ipad identity yaan ilikuwa ipad 3g inakuwa ipad wifi kwa sababu unatoa resistor r1205 ukitoa ipad inakuwa in dfu mode then unarestore kwa kutumia itune kwa firmware ya wifi na sio gsm tena na itakuwa ipad wifi
 
Inawezekana nikatuma ela kwa seller nikafanikisha?

Nataman na android wangekua na hii mambo wizi wa simu ungepungua sana!!! Ngoja na mimi nijipange nikanunue iphone!!!
 
Inategemeana na os iliyo kwenye hyo cm, vingnevyo baypass uitumie kama iPod
 
Ina maana ukiokota iphone ni sawa na kuokota vocha ya luku? Haha jana ndugu yangu kanunua iphone 6. Ebay US. ngoja nimtonye kabla mboyoyo za shipping hazija anza yasije yakamkuta kama yako!
 
JF Bwana kuna watu wa aina tatu...sisi watazamaji... Kuna wanao katisha tamaa na kuna wanaofariji.
 
Haya mambo ya iphone ni bora kununua yako mwenyewe mpya dukani
 
hii sio dhana kama ww unavyofikilia mm nimeshafanya hiyo ya hardware na nimefanikiwa nimesema kuchange board id maana yake ni kuchange ipad identity yaan ilikuwa ipad 3g inakuwa ipad wifi kwa sababu unatoa resistor r1205 ukitoa ipad inakuwa in dfu mode then unarestore kwa kutumia itune kwa firmware ya wifi na sio gsm tena na itakuwa ipad wifi
Kuna tofauti kubwa sana kati ya wifi na gsm device, moja inapiga simu nyingine ni wireless net peke yake, ipad ambayo haipigi simu ni kizungu zungu wakati wa kuongeza vocha. Kwa hiyo kitendo cha kubadilisha 3G device kuwa WiFi only maana yake kazi ya kuondoa iCloud lock imeshindikana!

hadi sasa ni iphone 4 pekee na baadhi ya ipad za nyuma ambazo watu wamefanikiwa kuzitoa lock
Sio 4 peke yake, mi nilifanikiwa kutoa iCloud lock ya 5S. Tena niliposti humu wakati natafuta suluhisho. Fundi ali communicate na remote server fulani (sina hakika kama ni Apple kwa sababu sielewi kwa nini Apple wakupe ID ya mtu ) lakini mwisho wa siku iliwezekana.

Halafu nikataka kununua iPhone nyingine iliyokuwa na iCloud lock nimpelekee, akanambia "that server is down now, we have to wait." Sijamfuatilia tena. Haikuwa hapa Bongo. Ilinigharimu $ 150.
 
Kuna tofauti kubwa sana kati ya wifi na gsm device, moja inapiga simu nyingine ni wireless net peke yake, ipad ambayo haipigi simu ni kizungu zungu wakati wa kuongeza vocha. Kwa hiyo kitendo cha kubadilisha 3G device kuwa WiFi only maana yake kazi ya kuondoa iCloud lock imeshindikana!

Sio 4 peke yake, mi nilifanikiwa kutoa iCloud lock ya 5S. Tena niliposti humu wakati natafuta suluhisho. Fundi ali communicate na remote server fulani (sina hakika kama ni Apple kwa sababu sielewi kwa nini Apple wakupe ID ya mtu ) lakini mwisho wa siku iliwezekana.

Halafu nikataka kununua iPhone nyingine iliyokuwa na iCloud lock nimpelekee, akanambia "that server is down now, we have to wait." Sijamfuatilia tena. Haikuwa hapa Bongo. Ilinigharimu $ 150.

Kwahiyo una toy la iphone?
 
Mkuu kuna wakati wachina walitengeneza server mbadala lakini hata hivyo ilifungua simu kwa matumizi ya kusikiliza miziki video na games tu na si mawasiliano

Hata hivyo haikuchukua muda Apple waka fix huo mwanya fasta
 
hivi hata ukiwasiliana na apple pia muafaka hauwezi kupatikana?
 
Kama una uhakika simu ni yako, na una access na email iliyotumika kwenye iCloud watakusaidia, vinginevyo sahau!
 
Kwahiyo una toy la iphone?
Nilifanikiwa kuifungua, kwani hapo juu nimesema nini?

Mkuu kuna wakati wachina walitengeneza server mbadala lakini hata hivyo ilifungua simu kwa matumizi ya kusikiliza miziki video na games tu na si mawasiliano

Hata hivyo haikuchukua muda Apple waka fix huo mwanya fasta
Iphone 5S ilifunguka kwa matumizi ya kila kitu sio muziki na games tu, haikuwa server ya mchina, ilikuwa ya ukweli.

Halafu sidhani kama iCloud lock inafunga matumizi ya mziki!
 
Nilifanikiwa kuifungua, kwani hapo juu nimesema nini?

Iphone 5S ilifunguka kwa matumizi ya kila kitu sio muziki na games tu, haikuwa server ya mchina, ilikuwa ya ukweli.

Halafu sidhani kama iCloud lock inafunga matumizi ya mziki!

ndugu.kama yako umefungua naomba na mimi unisaidie
 
Back
Top Bottom