Nina iphone4s ilizingua icloud ikabidi niirestore nilivo kamisha kuirestore bado inataka ile id ya mwanzo msaada hapo kwa naweza kufanikisha ili?
Kama bado inakusumbua ni PM nkuunganishe na mtu anayeweza kutoa hizo mamboNina iphone4s ilizingua icloud ikabidi niirestore nilivo kamisha kuirestore bado inataka ile id ya mwanzo msaada hapo kwa naweza kufanikisha ili?
Kama bado inakusumbua ni PM nkuunganishe na mtu anayeweza kutoa hizo mambo
inawezekana nikatuma ela kwa seller nikafanikisha?
Seller ni muuzaji tu kama umeinunua ebay na mitandao mingine kama hiyo
Kinachotakiwa hapo ni Apple id, kama seller angekuwa nayo alitakiwa kuitoa kabisa na akakuuzia simu haina hiyo id
Kwani wewe hiyo simu umeitoa wapi? Kuwa mkweli usaidiwe mawazo sahihi
apple id inaweza kutoka ina inahitaji umakini wa hali ya juu mfano iphone 4 inawezekana kabisa kutoka na ipad zenye sehemu ya kuweka lini kuna baadhi ya server za kubypass icloud kupitia hii unaweza kuona apple id yake na ukaweza kutoa nyingi zinaitaji donation ya $5 hii wanachofanya kwenye server wana crash setup.app ndio utaweza kubypass au kutoa kabisa kama utaweza kureplace hii inaitaji tools nyingi kidogo pia iko nyia ya hardware unatoa baadhi ya resistor ambazo zitachange board id yaan kuchane ipad identity itakuwa wi-fi ipad na sio 3g tena hii mimi nimeshafanya kwenye ipad 2 3g nankafanikiwa pia kunazingine za wizi lakini hazina pass code ila zina icloud pia unaweza kuturn off find my iphone or ipad device kama ikiwa ios 7-8.1 kama ni zaidi ya hapo itabidi ndio kazi labda kama huyu mtu ameijailbreak ili upate root access kuna code unafuta then find my iphone or ipad itajiturn off pia hata kama inapasscode pia unaweza kubypass
Mkuu kuna theory nyingi sana kwenye mitandao zinazoelezea uwezekano wa kupaypass icloud lock lakini hadi sasa ni iphone 4 pekee na baadhi ya ipad za nyuma ambazo watu wamefanikiwa kuzitoa lock
Hayo mambo ya kubadili sijui chip na nani ni dhana tu mkuu, na utapata wapi hizo chip za kureplace? Labda unadili motherboard yote ambapo ni sawa na kununua simu mpya sasa
Nakuhakikishia akitokea mtu anaweza kutoa hii makitu atapiga sana hela mwanzoni na dunia nzima tutajua within a day
Naamini ipo siku itawezekana lakini kwasasa ni dhana tu