Tatizo la hii simu ni mini?

Tatizo la hii simu ni mini?

Kiwembe 0

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2016
Posts
536
Reaction score
605
6ca78145c186180da2b46c0a5dc70bc2.jpg
20f0cf4c669921971ce931745ddb8f04.jpg

Km screenshot zinavyoonesha
Hii simu inazingua suala la camera/picha/photos kila siku INSUFFICIENT SPACE wakati kuna memory card kubwa na cha ajabu inasave kwenye simu tu yaani SD vitu haviingii na nikiweka mpya zinaweza kuingia km 10 tu zen tatizo linaanza km kawa
Nimejaribu kudefault storage location lakini haileti mafanikio
Simu ni Huawei

Yaani kuna picha 20 tu
No video
Application km 6 tu tena ndogondogo
86ccbd909995ebcd85e2201154599dc3.jpg

Ni kero
 
6ca78145c186180da2b46c0a5dc70bc2.jpg
20f0cf4c669921971ce931745ddb8f04.jpg

Km screenshot zinavyoonesha
Hii simu inazingua suala la camera/picha/photos kila siku INSUFFICIENT SPACE wakati kuna memory card kubwa na cha ajabu inasave kwenye simu tu yaani SD vitu haviingii na nikiweka mpya zinaweza kuingia km 10 tu zen tatizo linaanza km kawa
Nimejaribu kudefault storage location lakini haileti mafanikio
Simu ni Huawei
Nenda kwenye setting za camera badilisha option ya storage kwenda kwenye external storage
 
Nilishajaribu hiyo lakini haileti mafanikio ndo kwanza ikagoma screenshots
tumia app nyengine ya camera, kama snap camera

kikawaida insufficient storage hutokea free storage ikiwa asilimia 10, hivyo kwa simu ya 4gb usiiache free storage ifike mb 400 hakikisha ina mb500 kupanda
 
Sasa lakini vipi kuhusu storage kutokubali memory card?+yaani inategemea internal stirage ) tu hata nifanye setting au default au kubadili SD card
 
Zingatia sana internal.
Maana simu hutumia sana internal ku fanya mambo yake. Hiyo ext ni storage tuu.
Hizo mb400 ni chache we zingatia ziwe juu ya 500.

Kama una apps nyingi hamishia kwenye sd
 
mkuu storage ya simu ni kama mara 100 zaidi kwenye speed kulinganisha na memory card za mtaani linapokuja suala la random read/write hivyo ndio maana watengeneza simu hawataki uweke application kwenye memory card. memory card itumie kwenye mambo ya picha, video, sauti nk
 
Umefafanua vizuri ...tatizo hata picha tu hazikubali/haziingii kwenye SD card ndio tatizo kuu
 
Zingatia sana internal.
Maana simu hutumia sana internal ku fanya mambo yake. Hiyo ext ni storage tuu.
Hizo mb400 ni chache we zingatia ziwe juu ya 500.

Kama una apps nyingi hamishia kwenye sd
Hakuna kilichowahi kukubali/kufanikiwa kuhamia kwenye SD card
 
Umefafanua vizuri ...tatizo hata picha tu hazikubali/haziingii kwenye SD card ndio tatizo kuu
ndio nimekwambia download app nyengine ya camera au kama picha zipo ndani ya simu unataka kuzihamisha tumia file manager
 
io simu tatizo lake sio ni tecno kweli!!?? daaahh poule broh
 
Ndio shida ya huawei hiyo yaani hapo ni ku unstall application ambazo hutumii yaani kwa ujumla hii y530 ukiweka vitu vichache imejaa
 
Ukweli mtupu yaani sijasave ht kavideo tu na Apps ni chache tu tena za MB kiduchuuu
 
ndio nimekwambia download app nyengine ya camera au kama picha zipo ndani ya simu unataka kuzihamisha tumia file manager
Hapo kutumia app nyingine ya camera nitafanya hivyo lakini mtaalamu kwenye file manager sijawahi kufanikiwa kuhamisha ht picha tena simu yenyewe picha hazizidi ht 20....nadelete kila siku hadi naamua mutopiga/download picha
 
Ram inatakiwa kuwa 2 GB ndo utaenjoi
Nakumbuka zamani nilikuwa na simu iaiyo na jina kubwa lkn haikuwa inasumbua maana niliweza kuweka hadi picha 2000+ bila kufuta na memory card ya 4GB....Ila hili liHuawei majangatu SD card 8 GB lkn ht picha 50 tu shida
 
Back
Top Bottom