Wanajamii kuna tatizo ambalo linasumbua muda mrefu, ambalo ni kuwa na hasira sana. Hii imenipelekea niwe mwingi wa lawama hata pasipo na msingi. sina simile hata kidogo imepelekea my wife aishi maisha ya kukereka sana, hii inanikosesha raha sana imenibidi niwe mtu pombe ili kupunguza Stress. tatizo nimekua nalo toka utotoni. Naomba kama mtu anaeweza nisaidia kuondokana na Hili tatizo.

ha ha. my mom has a lot of books on how to manage emotions/anger, she used to mentor watoto zamani.hivi hakuna program za 'anger management' huku kwetu?
Blaine, hebu njoo useme ni wapi.
find a hobby.....it helps....
fuatilia mpira kama wehu wengine...
kila mechi hukosi...lol...