Victoire
JF-Expert Member
- Jul 4, 2008
- 24,144
- 56,607
Asante sanaView attachment 1084978
hii ni mfano wa monitor
Asante sanaView attachment 1084978
hii ni mfano wa monitor
Mimi sibishani,sema sijui una hasira za nini?Yeye ni mbishi, swali nimemuuliza wewe ni ke au me, anaanza kuuliza tena ati kuna uhusiano gani na kumuuliza jinsia na kisukari, hajui kuwa mimi napenda ubishi.
Kwa hiyo niendelee kunywa chai yenye sukari,nile wali,ugali kama kawaida eeh?Dada hauna kisukari acha kujipa stress.
Kama kwenu mna historia ya kuwa na kisukari unapaswa kuwa na wasiwasi. Kama mna hereditary DM basi cha msingi ni kuishi positive life ili kikuepuke.
Mkuu ugali wa dona au muhogo siyo wangaMkuu Cha kufanya hapo Ni kufuata ushaur wa daktar tu,,, punguza kula vitu Kama nyama kula Sana mboga mboga,, fanya mazoezi kwa Sana,,, kula ugali wa Dona au muhogo,, Kama unatumia bia inabidi uache kabsa,,,
Harafu punguza mawazo mkuu,,, huo Ni ugonjwa wa kawaida Kama utafuata vizur ushaur wa daktar,,, na ukaweza kuumantain,,,
Mm nakushauri uwe na uhakika km ni kisukari au sio kabla ya kuamua kula hayo mawali na manyama na kunywa chai yenye sukari na soda, vinginevyo km ni sukari utaumia sn, sukuri inazinguwa ukiicheleweshaKwa hiyo niendelee kunywa chai yenye sukari,nile wali,ugali kama kawaida eeh?
Hahahhhaahhah unanichekesha,kwanza in short mimi sio mtu wa kula protein sana. Mayai nyama huwa sili ndo maana jibu lako halikurelate na stuation yangu na ndo maana nikakujibu hivyo. Pili mimi napenda kula ugali sana labda ungeniambia starch hapo ningekuelewa,UTI ndo sijawahi ugua kabisa yaani. Mimi ni muumini wa kunywa atleast litamoja ya maji kila siku. Yaani kwa ujumla organs zangu zote zipo safi kasoro pancréas ndo inafikia limit ila nita reverse tu hii stuation.Najua unapenda ubishi, hivi hujui protein ndo kitu chakula kikubwa kinachozalisha sumu kwa wingi mwilini! Unajua amino inavyopatikana mwilini na hujiulizi kwanini mwilini hakuna storage ya protini..hivi unajua kuwa kazi ya protini kwa mtu mzima kama wewe ni kwa kucha zako, nywele ni vi hormone vyako. Nakuonea huruma kwa sababu hujui pia kuwa unalichosha sana ini lako na hata mfumo wake mzima pamoja na kongosho hadi kushindwa kuzalisha insulini ya kutosha sababu ya hizo protini kwa wingi. Nawatamani sana kuwakaza wanawake wabishi kama wewe.
Na ndio maana najua umewasumbua sana madaktari kwa ugonjwa wako wa UTI ambao unakusumbua kwa muda mrefu.
Ni kweli leo youtube niliangalia video ya Dr Mohamed Janaba alipokuwa akihojiwa CLouds de tv kweli alisema hivyo,ni bora kula matunda kuliko Juice.Tunaambiwa juice hata za kutengeneza hazifai ,kula matunda yanafibre si juice
Asante na barikiwa sana.
Juisi ya kutengeneza nyumbani mwenyewe ndio nimekusudia, kwasababu kila kiwango unakisia mwenyewe.Tunaambiwa juice hata za kutengeneza hazifai ,kula matunda yanafibre si juice
Hujui wewe, mimi huwa siangalii tatizo huwa naangalia chanzo, sio protini tu ndo husababisha kisukari hata cancer zaidi ya 80% chanzo ni protein, au nawe unataka ubishi.Ila umeniacha hoi protini inasababisha sukari
Mama yangu,wajomba zangu wanacho. Babu yangu kilimsababishia heart attack. Na mimi hizo grams zimeshazidi normal.Kwa nn usile?
Hivi kwa nn una wasiwasi sana na kisukari?
Hivi kukutwa na sukari nyingi kwenye mkojo ni kawaida?Grams hazijazidi normal.
Km mna historia ya kisukari take care. Fuata ushauri uliopewa huko juu. Lakini kwa sasa sioni haja ya ww kuwa na wasiwas sabab hauna dalili hata moja.
kwa mfano issue gani?Mind you that figo ipo fresh kabisa.Kinachomata ni FBG & RBG.
Sukari kwenye mkojo inaweza kusababishwa na issues zingine.
Wala sikuhisi,huwa mwaka nachech afya yangu hii ni routine niliyojiwekea,hivyo nilifanya vipimo vya full blood picture na mkojo pia ndo nikaonekana sukari imezidi kiwango kwenye damu na kwenye mkojo pia,ndo kutokea hapo nika napima mara mbili kwa mwezi huku nimeacha kabisa kutumia sukari.Pole sana bt blv uko ok, muhimu fanya vipimo tena katika hosp mbili tofauti..
Swali moja tu kwako!! ni nini kilipelekea ukawa unapima sugar level mara kwa mara je ulihisi unaweza kuwa na tatizo??
grams normal za kisukari under fasting ni zipi?Grams hazijazidi normal.
Km mna historia ya kisukari take care. Fuata ushauri uliopewa huko juu. Lakini kwa sasa sioni haja ya ww kuwa na wasiwas sabab hauna dalili hata moja.