Bandugu gari yangu inayumba yumba au kukata kiuno.nimeipeleka kwa fundi amecheki rake hand, bush, rubber halijapona. Siku ya pili nimeipeleka kwa fundi mwingine akasema tairi itakuwa na uvimbe ndani.leo nimenunua tairi nyingine tatizo bado.naombeni msaada

Ni grande mark 11,110 gx, ni upande wa dereva ndo sana
kitu kama gx 110 zinatatizo hlo esp spid ikifik 80 gar inaanza kutetemeka, kuna fund mja alinisaidia baada ya kuzunguka sna, bt pia check wheel balance

Sterring haiyumbi.bali inatetemeka
Ringi au rim? Ringi ziko ndani ya injini, rim ni ile inayoshika tairimkuu kagua ringi kwa umakini inawezekana kuna ambayo imepinda. kama imepinda hata ukibadili tairi bado tatizo hubaki
Engine mountain gari inatikisika hasa ukiongeza mwendo, sio kuyumbajaribu kucheki na engine montain.
Centre bolt ikikatika gari inakwenda upande upande lkn haiyumbiCentre Bolt imekatika