Tarakilishi
JF-Expert Member
- May 19, 2013
- 2,180
- 2,453
Limenikuta Jana jioni. Nilifanikiwa ku transfer kwa m-pesa from my CRDB kiasi kikubwa to my phone number. Tatizo ni kuwa salio linaonyesha kuwa pesa imetoka bank, ila kwenye m-pesa hakuna kitu.
Ukiwauliza wahusika wanasema subiri masaa 24. Huu ni usumbufu mkubwa.
Angalizo: msiamini sana huduma hii, ikikukuta kwenye immegency umeliwa.
Umeongea bila kufikiria other factors...mfano muda,usafiri,usalama nk...kama ATM ipo nyumba ya pili hapo sawa lakini kama lazima uchukue usafiri ni sawa sawa na pengine nafuu kuliko hiyo 2100 ulioitaja...hapo bado hujaangalia usalama wa kutembea na fedha njiani na pia muda utaotumia kufika kwa ATM.viwango na gharama benki zote wanachaji pesa hiyo hiyo..NMB wanachaji pesa hiyo hiyo Exim benk ndo wanakata zaidi.Sikilizeni mazee...
Simbanking ni Huduma expensive sana, inakutia umasikini kama hujui...
Mfano :
Kuhamisha tuu 10,000 kutoka Simbanking kwenda Mpesa /Tigopesa unakatwa 2130.
Wakat kama unngeenda ATM makato ni 944.
Twende :
Kuhamisha 500,000 kutoka Simbanking kwenda Mpesa/Tigopesa unakatwa 6000.
Wakati kama ungeenda ATM makato ni 1888.
Conclusion:
Tuache tabia za Uvivu, kupenda shortcut.
Kama unaweza kwenda ATM ni bora mara 100% kuliko kutumia Simbanking.
Simbanking ni gharama sana, unganisha na changamoto kama hizo juu za Wadau wanatoa hela, hawazioni mpaka wasubiri masaa 24.
Kama hiyo haitoshi:
Kumbuka kuna gharama za kutoka Simbanking kwenda Mpesa/Tigopesa, jumlisha na gharama za kutoa hela Mpesa/Tigopesa kwenda mkononi.
Simbanking ni Huduma ya kifala, japo inaokoa safari za kwenda ATM.
Umeongea bila kufikiria other factors...mfano muda,usafiri,usalama nk...kama ATM ipo nyumba ya pili hapo sawa lakini kama lazima uchukue usafiri ni sawa sawa na pengine nafuu kuliko hiyo 2100 ulioitaja...hapo bado hujaangalia usalama wa kutembea na fedha njiani na pia muda utaotumia kufika kwa ATM.viwango na gharama benki zote wanachaji pesa hiyo hiyo..NMB wanachaji pesa hiyo hiyo Exim benk ndo wanakata zaidi.
Umesahau na gharama za nauli na usumbufu kuzifikia hizo ATM
Tuache ulalamishi usio na mashiko, mimi naitumia huduma hiyo mwaka wa sita sasa na taizo la namna hiyo limenitokea mara tatu tu. Ni vyema ukaelewa kuwa changamoto za namna hiyo huwa zinajitokeza kutokana na matatizo mbalimbali na mengi zaidi yakisababishwa na mtandao kuwa chini. Huduma za mtandao hazitolewi na CRDB bali wao huwategemea Service Providers wengine. Sio jambo zuri sana kuchafua biashara za watu kwa tatizo dogo lililokukuta mara moja.
Ni natumia simbanking mara nyingi sana haijaniletea tatizo lolote.nimetoka kununua LUKU sasa hivi na nimefanikiwa.kumbuka muamala ukigoma inawezekana link ya huo mtandao wa simu ilikuwa down na sio simbanking.
Wewe umefanya muamala lini?Mie pesa yangu ilikwama na ndani ya masaa 24 pesa iliingia!tembelea page zao utapata msaada wa haraka zaidiLimenikuta Jana jioni. Nilifanikiwa ku transfer kwa m-pesa from my CRDB kiasi kikubwa to my phone number. Tatizo ni kuwa salio linaonyesha kuwa pesa imetoka bank, ila kwenye m-pesa hakuna kitu.
Ukiwauliza wahusika wanasema subiri masaa 24. Huu ni usumbufu mkubwa.
Angalizo: msiamini sana huduma hii, ikikukuta kwenye immegency umeliwa.
Limenikuta Jana jioni. Nilifanikiwa ku transfer kwa m-pesa from my CRDB kiasi kikubwa to my phone number. Tatizo ni kuwa salio linaonyesha kuwa pesa imetoka bank, ila kwenye m-pesa hakuna kitu.
Ukiwauliza wahusika wanasema subiri masaa 24. Huu ni usumbufu mkubwa.
Angalizo: msiamini sana huduma hii, ikikukuta kwenye immegency umeliwa.
Mi nilikaa wiki 3, tena nilikua safarini, nilipoenda benk wananiambia niandike barua, ilhali sina hela yeyote ya kwenda kula huku nikisubiria barua amabayo ilikaa wiki 3.Limenikuta Jana jioni. Nilifanikiwa ku transfer kwa m-pesa from my CRDB kiasi kikubwa to my phone number. Tatizo ni kuwa salio linaonyesha kuwa pesa imetoka bank, ila kwenye m-pesa hakuna kitu.
Ukiwauliza wahusika wanasema subiri masaa 24. Huu ni usumbufu mkubwa.
Angalizo: msiamini sana huduma hii, ikikukuta kwenye immegency umeliwa.
Sikilizeni mazee...