Tatizo la confirmation TCU CAS

Tatizo la confirmation TCU CAS

Joined
Sep 22, 2014
Posts
58
Reaction score
3
Nilichaguliwa kupitia nacte kusoma degree na nikathibitishwa na chuo husika,sasa cha kushangaza napo angalia jina langu kupitia tcu results selection naambiwa bado nina provisional selection. Jamani tatizo ni nini? Msaada tafadhali.
 
Mkuu Nacte alafu TCU tena,cha msingi fatilia batch zinazotolewa na chuo husika,bado zitaendelea kutoka mpk wiki ijayo.
 
Kama umeona jina lako katika chuo husika hiyo ndiyo confirmation yako achana na TCU watakutia tu presha zisizo za msingi.
 
Mkuu Nacte alafu TCU tena,cha msingi fatilia batch zinazotolewa na chuo husika,bado zitaendelea kutoka mpk wiki ijayo.

Kwenye batch za chuo tena ya kwanza kabisa jina langu lipo. Vp sasa kuhusu kupata mkopo maana Heslb si huwa wanachukua majina tcu cas?
 
Hivi Bodi Ya Mikopo Wanatemesha Lini Majina Jaman Ili Tujue Moja Kabisa Kama Ni Kusuka Au Kunyoa
 
Blaros kida 14:39 Yesterday
Hey hey pay attention jamani TCU ipo kwa ajili yenu hivyo kama kuna mtu yeyote ambaye ameandikiwa selected by tcu hii inamaana tayari ameshachaguliwa na kwa uthibitisho na hilo jina lko lipo tayari ktk chuo husika hivyo USISUBIRI MAra eeee majina ya second batch ,au third au forth batch yatatoka lini Jina lko lipo tayari ktk chuo huska cha kufanya nenda chuoni ukaanze usajili.. kwa kupata join instruction na mambo mengine MKOPO MKOPO MKOPO huu ndo unazingua watu lkn vuteni subra ........USHAURI kama upo mbali na chuo ulichochaguliwa ni wakati wa kuwa karbu nacho lkn pia usisahau kutembelea website ya chuo ulichochaguliwa kupata new information coz i gotta information that udom wameongezewa trhe ya kuripot si tarh ile tna bali ni tarhe 14 novemb na WALE WA 5 round wanangu msikatee tamaa mboni chuo kama kawaida tu .........DEAR TCU WAPE WANAFUNZI HAWA CHUO...............
 
Back
Top Bottom