Tatizo la computer kuwa slow linasababishwa na nini?

Tatizo la computer kuwa slow linasababishwa na nini?

Joined
Jan 13, 2014
Posts
7
Reaction score
0
Kuna dogo nimemkuta maeneo ya home huku ana computer ya Toshiba ali install window 8 two month ago ila sasa hiv akiwasha computer inachukua saa moja ndo inafika kwenye zile tiles halaf ipo slow kwel je tatizo ni nini hapoo jaman?
 
Kizuri zaidi, jaribu kubadilisha windows ikiendelea kua slow, badili hdd, tatizo ni miongoni mwa hivyo vitu.
 
Jaribu kushusha kwanza window hiyo.. Rudisha window original iliyokuja na hiyo pc..

Me dell yangu ilikuja na windows xp, nikaitoa nikaweka windows 7.. Kilichojiri mkuu..we acha tu..
 
Je specs za hiyo laptop zinaruhusu ku load Windows 7 au 8 maana tuna tabia ya kuiga bila kujipanga na ulichonacho.inshort check kwa internet minimum specs za kuistall Windows 7 n 8.
kupiga chini windows c o solution kwali u slow wa pc ni sawa na miss na plug kwa motokaa, kwani uwezi ondoa miss kwa kubadilisha engine bali weka plug inakuwa MPYA.
 
huko mbali, anza kwanza kupunguza space ya harddisk alafu update antvrus yako kisha scan mashine nzima..
 
Kwa yeye inavyoonekana computer kuwaka had kufika kwenye window ndo tatizoo
 
hyo inatokana na kuinstall os ambayo haisupport hyo device mara nyng computer ambazo hazjafanyiwa assembling zinakuja na mfumo kamili wa os znazotakiwa.. kwa mfano wakat wanatoa vista sp1 IBM haikuwepo kwenye list wakaiweka kwenye sp2.. rudisha os iliyokuja nayo
 
Kuna dogo nimemkuta maeneo ya home huku ana computer ya Toshiba ali install window 8 two month ago ila sasa hiv akiwasha computer inachukua saa moja ndo inafika kwenye zile tiles halaf ipo slow kwel je tatizo ni nini hapoo jaman?

Post specifications za kompyuta yako. unaweza kukuta ina uwezo mdogo kuliko hiyo operating system uliyo install
 
Back
Top Bottom