Tatizo la CHADEMA Igunga ni Mgombea

Craaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaap! Ova!

Wanataka kuongeza watu wa kupiga makofi na kugonga meza bungeni! CCM bwana kazi tunayo watanzania, du mzigo huu CCM siku tutakapoutua chini tutapumua

chadema, hii tip si ya kuipinga bali ya kuifanyia kazi....you have got some intelligent people ndani ya chama wanaoweza kukokotoa mambo kwenye 3 dimensions.

intelligent people have got all what it takes to convert weaknesses into strengths and win the election....do it!!

siasa za makabila zinainyemelea Tanzania

Sikujua Rostum Aziz ni CUF. Maana ndiye aliyekuwa akishinda Igunga, jimbo la CUF.

Mkuu utakuwa umesahau tu. Si unafahamu kuwa wana ndoa ya kiserikali na kibunge?

hili ndilo tatizo letu watanzania. tunashawishika kirahisi na maneno na mbwembwe za wagombea. wanaoongea vizuri wametusaidia nini? hatuwezi kuangalia rekodi za utendaji za wagombea ktk nafasi zao walizowahi kuzishika?

usiwe bweg.e ww, Mnyika ni mbunge wa ubungo kwan ni mzaliwa wa Dar?

Yale yale ya ukabila na ukanda!
Itawatafuna hii kitu, mliianzisha wenyewe.

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…