Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,584
- 27,837
UKAWA wamekuwa wakisikika wakisema kwamba tatizo siyo mtu bali ni mfumo wa CCM na ni lazima kuubadilisha huwo mfumo!
Sasa swali langu kwa ukawa kama tatizo la CCM ni mfumo na Je, mnataka kuleta mfumo gani wa utawala ulio bora zaidi ya huu wa CCM?
Je, ni wa chadema, NCCR au CUF? Je mnaweza kuniambia kwamba chadema wana mfumo bora klk huu wa CCM? rejeeni jinsi Mwenyekiti wa chadema anavyopatikana, jinsi fisadi Lowasa alivyopewa nafasi ya kugombea uraisi bila kushindanishwa na yoyote yule, matumizi y ruzuku za chama hakuna ukaguzi wowote ule na hakuna anayejua isipokuwa Mbowe jinsi fedha zinavyotumika n.k!
Hivyo ingawaje mnaweza kuwa sahihi wamba CCM kuna matatizo lkn huko kwingine kwa fisadi Lowasa kuna matatizo makubwa zaidi!