Tatizo la CCM ni Mfumo-UKAWA!

Tatizo la CCM ni Mfumo-UKAWA!

Lakini fisadi Lowasa na Genge lake ndiyo waliokuwa wapinganji na wachakachuaji wakubwa wa hiyo unayoiita Katiba ya Warioba sasa iweje leo hii aja kuitetea? Unategemea WatanZania wanaweza kumuamini mtu kama huyo?
Na samia aliifanyaje.? Aliikojolea labisa au.?! Unamwamini nae.!?
 
Back
Top Bottom