Tatizo la CCCM

Tatizo la CCCM

The Wolf

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2013
Posts
9,445
Reaction score
20,811
Wanadhani kwamba killa mtu anakuwa influenced na utitiri wa wasanii
 
Hawatathubutu aiseee

Kweli mkuu, huku mtaani kwangu kuna sehemu wadau huwa tunaenda kucheza draft, kuna mzee ni ccm pure influence yake ni zaidi ya huyo aunty ezekiel au msanii yoyote, na cha ajabu ni mlinzi tuu, hana maisha mzuri na kuwashawishi watu anaweza sana, kwanini wasimpe hizo milions?
 
Back
Top Bottom