Tatizo la camera kwenye samsung galaxy A8

Mr. Mpevu

JF-Expert Member
Joined
Oct 26, 2012
Posts
298
Reaction score
528
Hbr za leo wakuu. Naomba kupata msaada wa namna ya kutengeneza Camera ya simu yangu aina ya Samsung Galaxy A8. Kwa ss nikifungua Camera yake inasema "Warning. Camera failed" Lkn nikiweka simu kwenye chaji inafunga Camera, japo sio kwa quality nzuri nilioizoea.
Anayeweza kunisaidia kutatua tatizo hili plse anijulishe hapa au kwa namba 0769725553. Nmejaribu kuipeleka kwa mafundi watatu tofauti nikapata maelezo tofauti hadi nikaogopa. Nipo Dar japo kwa sasa niko mkoani lkn wiki hii mwishoni narudi Dar.
Nawasilisha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwingine aliniambia kuna ic inatakiwa ibadilishwe. Mwingine akasema ni Camera yenyewe ina matatizo, ibadilishwe. Mwingine akasema ni setting inatakiwa iwekwe vzr so simu iwe rebooted. Nikaishiwa nguvu kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hilo tatizo kwenye samsing ni kawaida.....hata mimi kwangu lina nitokea sana
Na linatokea pale simu nitakapo chaji na chaja ambayo unakuta inakuwa inapelekea simu kuwa ya moto.....

Mimi ni format mpaka simu na tatizo likawa pale pale..
Kumbe ilikuwa ni kitu rahisi sana...

TATIZO kama hilo likitokea NACHOMOA BETRI NA KUIRUDISHA nawasha simu Tatizo limeisha mara ya kwanza fundi alinipiga elfu 15

Sahizi najifanyia mwenyewe...SASA SIJUI KAMA SUMU YAKO BETRI INATOKA KAMA INATOKA fanya kuichomoa alafu irudishe angalia tenaa

Ahsante sana kwa ushauri mkuu. Tatizo hii simu haifunguki hadi kwa wataalamu wanaoweza kufungua kioo kwa mbele ndipo inafunguka. So siwezi kutoa betri kirahisi. Nimeshairestart mara kadhaa lkn hakuna unafuu wowote.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hbr za leo wakuu. Naomba kupata msaada wa namna ya kutengeneza Camera ya simu yangu aina ya Samsung Galaxy A8. Kwa ss nikifungua Camera yake inasema "Warning. Camera failed" Lkn nikiweka simu kwenye chaji inafunga Camera, japo sio kwa quality nzuri nilioizoea.
Anayeweza kunisaidia kutatua tatizo hili plse anijulishe hapa au kwa namba 0769725553. Nmejaribu kuipeleka kwa mafundi watatu tofauti nikapata maelezo tofauti hadi nikaogopa. Nipo Dar japo kwa sasa niko mkoani lkn wiki hii mwishoni narudi Dar.
Nawasilisha

Sent using Jamii Forums mobile app
Hili tatizo lilinitokea kwenye LG G4 yangu..
Fanya uingie kwenye setting then apps then app ya camera halafu clear data na cache then rudi kwenye camera utakuta inapiga kazi flesh tu..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwingine aliniambia kuna ic inatakiwa ibadilishwe. Mwingine akasema ni Camera yenyewe ina matatizo, ibadilishwe. Mwingine akasema ni setting inatakiwa iwekwe vzr so simu iwe rebooted. Nikaishiwa nguvu kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
Mafundi wengi wanakimbilia kwenye ic wakishindwa jambo

'HOW MUCH IS TOO MUCH?'
 
Hili tatizo lilinitokea kwenye LG G4 yangu..
Fanya uingie kwenye setting then apps then app ya camera halafu clear data na cache then rudi kwenye camera utakuta inapiga kazi flesh tu..

Sent using Jamii Forums mobile app
Nmeshafanya hivyo mkuu. Hili tatizo linanisumbua sana. Naamini hapa nitapata tu ufumbuzi mana kuna hazina kubwa sana humu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom