Magna Carta
JF-Expert Member
- Jul 14, 2014
- 4,348
- 6,669
Kwema wakuu, ninaomba kujulishwa namna ya kutatua tatizo hili, ambapo sauti inasikika ila Tv ni blank screen
Kwema wakuu, ninaomba kujulishwa namna ya kutatua tatizo hili, ambapo sauti inasikika ila Tv ni blank screen
Jana usiku ghafla ndio tatizo lilitokea, nilifanya kuzima taa za chumba nikawasha tochi na kumulika picha inaonyesha, je hiyo mikanda inapatikana wapiMkuu jaribu kumulika kwa Torch hata ya simu uone kama utaona picha,ikiwa hivyo badilisha mikanda ya taa imeungua.
Jana usiku ghafla ndio tatizo lilitokea, nilifanya kuzima taa za chumba nikawasha tochi na kumulika picha inaonyesha, je hiyo mikanda inapatikana wapi
Tv ni mpya siwezi kuirudisha kwa kuwa Ina guarantee ya Mwaka, Ina miezi miwili ipi option nzuriUkienda kwa Fundi TV yoyote pia kwenye maduka ya vifaa vya TV inauzwa,ingia instagram au Facebook u search wapo Mafundi weng wababadilisha.
𝙽𝚊 𝚖𝚒𝚎 𝚗𝚒𝚖𝚎𝚙𝚊𝚝𝚊 𝚑𝚒𝚢𝚘 𝚌𝚑𝚊𝚕𝚕𝚎𝚗𝚐𝚎. 𝙽𝚒𝚖𝚎𝚝𝚎𝚗𝚐𝚎𝚗𝚎𝚣𝚊 𝚠𝚒𝚔𝚒 3 𝚣𝚒𝚕𝚒𝚣𝚘𝚙𝚒𝚝𝚊, 𝚓𝚊𝚗𝚊 𝚒𝚖𝚎𝚣𝚒𝚖𝚊 𝚝𝚎𝚗𝚊...Tv ni mpya siwezi kuirudisha kwa kuwa Ina guarantee ya Mwaka, Ina miezi miwili ipi option nzuri
Gharama zake ni Tsh ngapi𝙽𝚊 𝚖𝚒𝚎 𝚗𝚒𝚖𝚎𝚙𝚊𝚝𝚊 𝚑𝚒𝚢𝚘 𝚌𝚑𝚊𝚕𝚕𝚎𝚗𝚐𝚎. 𝙽𝚒𝚖𝚎𝚝𝚎𝚗𝚐𝚎𝚗𝚎𝚣𝚊 𝚠𝚒𝚔𝚒 3 𝚣𝚒𝚕𝚒𝚣𝚘𝚙𝚒𝚝𝚊, 𝚓𝚊𝚗𝚊 𝚒𝚖𝚎𝚣𝚒𝚖𝚊 𝚝𝚎𝚗𝚊...
t-corn ni tatizo gani?Japo hajataja hizo brands ila kiukweli hizi flat tvs ni pasua kichwa
Kadri unavyoitazama(on) ndio maisha yake yanavyozidi kupungua.
Ugonjwa wa hizi tvs ni back light na t-corn hayo mengine ni wwe na watoto wako na tanesco
Karudishe uliponunuaTv ni mpya siwezi kuirudisha kwa kuwa Ina guarantee ya Mwaka, Ina miezi miwili ipi option nzuri
Nimefanya hivyo mkuuKarudishe uliponunua
Unaweza kututajia brand ya tv yako mkuuKwema wakuu, ninaomba kujulishwa namna ya kutatua tatizo hili, ambapo sauti inasikika ila Tv ni blank screen
T corn ni kidhibiti cha saa hutafsiri Kati mawimbi ya kawaida ya video na ishara mahususi na kiendeshi cha safu MLALO na safu vinahitajika na panel mahususi ua LCD au nyinginet-corn ni tatizo gani?
High QUnaweza kututajia brand ya tv yako mkuu
Inahitaji utaalamu sana kuelewa hapo, sisiwengine hatuna ABC za umeme kabisaT corn ni kidhibiti cha saa hutafsiri Kati mawimbi ya kawaida ya video na ishara mahususi na kiendeshi cha safu MLALO na safu vinahitajika na panel mahususi ua LCD au nyingine View attachment 2600002
Sawa mkuu.High Q
Kumbe ni tatito la smart Tv, nilijaribu kuperuzi mitandaoni kuna sababu kadha za kutokea sijui na mambo ya umeme yakiwepo, ipo kwenye guarantee nimeirudishaSawa mkuu.
Mimi nilidhawahi kupata hilo tatizo kwenye LG. Baada ya kubadili mkanda wa back-light tatizo halijajirudia tena.
Nilinunua hiyo tv mwaka 2015, tatizo likatokea 2020.