Tatizo la blackberry curve

Kuku wa Kabanga

JF-Expert Member
Oct 28, 2009
808
500
Habari wadau,nina simu yangu blackberry curve haisomi memory card,nahofia kushirikisha mafundi wa mtaani so nimeona nilete kwa great thinkers,inakuaje hapa?

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 

Mringo

JF-Expert Member
Jun 23, 2010
300
225
JAribu kwenda SETTING then MEMORY halafu angalia media card support, kama ipo OFF basi hiyo ndio sababu kuu.. Kama ipo on weka off the accept setting kisha urudi uweke tena on, inaweza kusaidia
 

mkonomtupu

JF-Expert Member
Jul 5, 2011
442
250
Na kama ni mpya au umeitoa kutoka kwenye simu nyingine, ni lazima u-iformat ili BB itengenezw files zake original ambazo zitawezesha memory card isomwe kama tayari uli-opt ku-turn on media card support na bado ikawa haisomi
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom