Tatizo la ajira na athari zake

Duuu amewaza atapata wapi kitu cha kupika mpaka amepitiwa na usingizi!
 
Hahha, huyu atakuwa na njaaa plus uchovu
 
Kawaida ya mwanaume huwa halali na njaa isipokuwa anachelewa kula tu

Aisee makubazi me hapa nilipo minyoo yote inanyongolota kwa ubao na mama mkaanga vitumbua naona sijui leo kachemsha? Hajaamka mpaka sasa
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…