Kwa Tanzania, kampuni bora zaidi ya mawasiliano, internet, e-money na kadhalika ni Vodacom tu. Haya makampuni mengine ni waganga njaa tu kama sie wa Rubambangwe Kijijini. Tunataka kufanya maandalizi ya Eid eti Airtel Money haipatikani! Upumbavu mtupu!