Tatizo la AC kwenye nissan Murano

Tatizo la AC kwenye nissan Murano

Mlachake

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2009
Posts
4,472
Reaction score
4,723
Waungwana, nina gari tajwa hapo Juu, Nilimuazima Mtu akarudisha Feni ya Air condition ikiwa haifanyi kazi, Nimepeleka kwa mafundi na mafundi eti moto hautoki kwenye control. nimenunua feni niki test kwa nje linafanya kazi but nikifunga ziii!!!

Naomba msaada kwa anaejua mafudi wazuri pliz
 
Back
Top Bottom