Simu yangu ya Nokia Lumia, imejizima ghafla kila nikiiwasha haiwaki na badala yake inanijibu ERROR: UNABLE TO FIND A BOOTABLE OPTION.PRESS ANY KEY TO SHUT DOWN
Please naomba msaada kwa mwenye kujua juu ya hili tatizo, kama kuna fundi mtaalamu anaweza kunipm