Jyhamah Juma Senior Member Mar 2, 2014 162 77 Feb 1, 2016 #1 naomba kusaidiwa ukiwa na tatizo kwenye mfumo wa chakula unakuwa na dalili zipi,madhara yake ni yapi na ni vipi mtu atajitibu ama kutibiwa?
naomba kusaidiwa ukiwa na tatizo kwenye mfumo wa chakula unakuwa na dalili zipi,madhara yake ni yapi na ni vipi mtu atajitibu ama kutibiwa?
Nje ya Mada JF-Expert Member Sep 30, 2015 1,399 490 Feb 1, 2016 #2 Wewe Ni mwanafunzi Wa udaktari au mgonjwa!? Swali lako Ni pana.. Na limekaa "KINOKOO"