Mashine yako inamiss some drivers! Kuhusu hiyo ya kwanza ya mobile broadband jaribu ku uninstal driver soft yake alafu ufanye installation. Jinsi ya kuona drivers ambazo hazijawa installed right click my computer then click manage alafu bonyeza device manager hapo utaziona driverz, kwa ambazo hazijawa instaled zitakuwa na alama ya kuuliza (? ) hizo ndo waweza zifanyia insltn