Cpp JF-Expert Member Joined Nov 1, 2012 Posts 1,238 Reaction score 2,479 Jun 9, 2022 #1 Wanajamii umeme unagoma kununulika kwa tigopesa/mpesa, kama kuna njia mbadala tujuzane kulala na kiza kimeo
Wanajamii umeme unagoma kununulika kwa tigopesa/mpesa, kama kuna njia mbadala tujuzane kulala na kiza kimeo
Others JF-Expert Member Joined Dec 28, 2013 Posts 1,205 Reaction score 2,821 Jun 9, 2022 #2 Nimekutagia Wahusika: TANESCO au Nenda kwa Wakala.
Mr Devil JF-Expert Member Joined Jul 7, 2019 Posts 15,227 Reaction score 35,300 Jun 9, 2022 #3 Kwani jana si walitoa taarifa kabsa ,mnunue umeme mapema wana marekebisho kwenye mfumo wa ununuaji
M maiye JF-Expert Member Joined Dec 16, 2013 Posts 1,175 Reaction score 2,088 Jun 9, 2022 #4 Mr Devil said: Kwani jana si walitoa taarifa kabsa ,mnunue umeme mapema wana marekebisho kwenye mfumo wa ununuaji Click to expand... Binafsi sikibahatika kulipata tangazo. Wamesema marekebisho hayo yanachukua muda gani? Yani lini tutaweza kununua umeme bila shida?
Mr Devil said: Kwani jana si walitoa taarifa kabsa ,mnunue umeme mapema wana marekebisho kwenye mfumo wa ununuaji Click to expand... Binafsi sikibahatika kulipata tangazo. Wamesema marekebisho hayo yanachukua muda gani? Yani lini tutaweza kununua umeme bila shida?
Dr. Wansegamila JF-Expert Member Joined Feb 3, 2012 Posts 3,027 Reaction score 8,374 Jun 9, 2022 #5 maiye said: Binafsi sikibahatika kulipata tangazo. Wamesema marekebisho hayo yanachukua muda gani? Yani lini tutaweza kununua umeme bila shida? Click to expand... Cheki
maiye said: Binafsi sikibahatika kulipata tangazo. Wamesema marekebisho hayo yanachukua muda gani? Yani lini tutaweza kununua umeme bila shida? Click to expand... Cheki
Kinkunti El Perdedo JF-Expert Member Joined Nov 28, 2020 Posts 5,603 Reaction score 14,075 Jun 9, 2022 #6 Lala kiza
cocochanel Platinum Member Joined Oct 6, 2007 Posts 28,902 Reaction score 78,952 Jun 9, 2022 #7 Na bei yake sasa!!!.. jipange. Kazi iendelee..