tatizo kwenye kibofu cha mkojo

Emmanuel kyara

New Member
Aug 14, 2011
3
0
habari wanajamii ! mimi ninanduguyangu anamiaka 30 anatatizo la UTI anaambiwa uti sugu alipewa dawa haikusaidia akapigwa sindano za mishipa kwajili ya dawa kama marambili lakini bado mkojo ni mchafu alishafanya kipimo cha ultasound ,majibu hakuna shida ila saivi anasikia mfukuto juu ya kibofu cha mkojo kama kunawaka moto je anaweza akawa na tezi dume maana toka aanzekutumia dawa akikojoa mkojo unakua kama unaunguza inaweza ikawa nini tatizo naomeni ushauri thanx
 

Muyagha

JF-Expert Member
Nov 29, 2014
226
250
Poleni sana kwa hilo tatizo.
Kama ni mwanamme ni ukweli usiopingika tezi dume (prostate gland) anayo. Ila nadhani ulimaanisha matatizo ya tezi dume (prostate gland infections).
kati ya dalili ya hayo matatizo hiyo mojawapo lakini huwezi kabisa kuthibisha, nenda kapime PSA, Ufanyiwe DRE, Ultra sound ya kibofu na ikibidi prostate biopsy (gharama si kubwa za kutisha) ili uthibitishe.
Lakini Kwa kuwa kipimo kilionyesha ni UTI hebu nenda katika kitengo cha tiba asili pale muhimbili university wana dawa ..
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar threads

Top Bottom