Korozoni
JF-Expert Member
- Oct 24, 2016
- 264
- 106
Hivi karibuni wizara ilitangaza kufuta mafunzo ya Ualimu Elimu ya Msingi ngazi ya Stashahada na kurudisha mfumo wa Astashahada ambao ulikuwapo zamani.
Ikumbukwe kuwa kipindi cha nyuma Ada ya mafunzo ngazi ya Astashahada ilikuwa Tsh.400,000 na Stashahada Tsh.600,000.
Cha ajabu baada ya Astashahada kurudishwa Ada imebaki kuwa Tsh.600,000 kwa vyuo vya Serikali ambayo ni ya Stashahada.
Je,waziri Ndalichako kipindi unatoa tamko la kufuta Stashahada hukukumbuka kwamba kuna tofauti ya malipo katika ngazi hizo mbili?Mbona umekaa kimya na wananchi wakiendelea kunyonywa?
Hii ni kwa sababu wanafunzi walioomba udahili katika mafunzo hayo mwezi Novemba wameendelea kuona Ada ya mafunzo hayo ikiwa ni Tsh.600,000!