Tatizo kwa Waislamu si Mahakama ya Kadhi, ni AJIRA!

Status
Not open for further replies.
wakuu,
kikubwa ambacho wasialam wanagangania kuhusu uanzishwaji wa mahjakama ya kadhi ni upanuzi wa ajira kwao kwa sababu ikianzishwa ni kama mfumo wa mahakama ya sasa ulivyo kwa maana ya mbali na kushugulikia masuala ya kiroho kama wanavyodai lakini hawasemi ni jinsi gani zinavyoendeshwa.

kama baadhi hamjui ngoja niwajulishe.
Kadhi mkuu atakuwa na wasaidizi kwa nchi nzima,watalipwa mishahara na serikali,watakuwa na ofisi,magari na kuingizwa katika ajira rasmi a serikali na taarifa nilizonazo kutoka kwa baadhi ya nchi ambazo utataribu huu upo ni kuwa hakuna mtu nje ya dini hiyo atakayeruhusiwa kuajira katika makakama za kadhi kuanzia kadhi mkuu hadi wa wilaya,Mwanzo.

kwa ufupi ni kuwa ikianzishwa kwa kodi ya waumini wa dini zote itakuwa bonge la ulaji kiajira kwa waislamu ndiyo maana wanakomaa nayo.

USHAURI:Kama wanaona ni muhimu kwa nini wasiaziashe wao wenyewe kwa gharama zao badala ya kugangania kugharamia na serikali

kazi kwenu.
Hembu jiulize wafanyabiashara hapa tanzania wenye viwanda,malori,ma bus ya usafirishaji,vituo vya mafuta,maduka ya vifaa vya ujenzi etc ni wakristo au waislam?Hizo ni ajira tosha kwetu!ofisi za umma waislam mnawapa kazi za udereva na ulinzi kwa kuwa eti sii walevi kama wakristo
 
....so?
 
Rutunga M
===>hv wale jamaa wanaomaliza MU ie Muslim University wanaosomea sheria za kiarabu wameajiriwa wapi?
 
Last edited by a moderator:
hivi hili suala la mahakama ya kathi tatizo ni serikali ya ccm matamshi yake hivyo waislam wanafuata jinsi serikali ilivyosema tusiwalaumu sana bali tutafute ufumbuzi
 
Wasalaaaaam! Kuna hoja ya waislamu kuitaka serikali igharamie uendeshwaji wa mahakama ya KADHI pamoja na kulipa makadhi ambao watachaguliwa kwa ngazi mbali mbali kuanzia kata, wilaya hadi kadhi mkuu. Na kwa minajili hiyo basi itabidi serikali ipangishe majengo kwa ajili yak kutumika kama ofisi za Kadhi. Lakini tukirud kidogo kwenye vitabu vitakavyotumika kutoa hukumu hiyo ndani ya mahakama ya kadhi yaan Quran takatifu inakataza vitu kama Pombe ,nguruwe kuwa ni haramu. Tukiangalia bajeti ya nchi yetu inachangiwa kwa kiasi kikubwa sana na kodi za mvinyo na sigara na maana kila mwaka bia inapanda bei. Swali ambalo najiuliza ni kuwa mahakama ambayo inaendesha ibada maana kidini hukumu ni ibada je itaendesha ibada kwa kodi za haramu? Makadhi watakaochaguliwa watapokea mishahara kwa kodi ya haramu? Au serikali itatafuta chanzo maalum cha mapato ambacho hakina kodi ya pombe,sigara,kitimoto wala riba kwa ajili ya kuendesha mahakama hii?
Nawasilisha
 
wakuu,
kikubwa ambacho wasialam wanagangania kuhusu uanzishwaji wa mahjakama ya kadhi ni upanuzi wa ajira kwao kwa sababu ikianzishwa ni kama mfumo wa mahakama ya sasa ulivyo kwa maana ya mbali na kushugulikia masuala ya kiroho kama wanavyodai lakini hawasemi ni jinsi gani zinavyoendeshwa.

kama baadhi hamjui ngoja niwajulishe.
Kadhi mkuu atakuwa na wasaidizi kwa nchi nzima,watalipwa mishahara na serikali,watakuwa na ofisi,magari na kuingizwa katika ajira rasmi a serikali na taarifa nilizonazo kutoka kwa baadhi ya nchi ambazo utataribu huu upo ni kuwa hakuna mtu nje ya dini hiyo atakayeruhusiwa kuajira katika makakama za kadhi kuanzia kadhi mkuu hadi wa wilaya,Mwanzo.

kwa ufupi ni kuwa ikianzishwa kwa kodi ya waumini wa dini zote itakuwa bonge la ulaji kiajira kwa waislamu ndiyo maana wanakomaa nayo.
U
usiwe na akili ya matope,hujamsikia rais akisema haitagharamikiwa na serikali waza na kufukiria kabla ya kufungua domo lako,el stupido!
 
Kama hii Serikali ya JK na Pinda ingekuwa hata na PUNJE ya akili haiwezi kamwe kukubali kugharamikia kadhi courts.

Tembelea nchi nzima majengo ya mahakama zetu za wilaya na mwanzo, ni majengo yaliyojengwa na MJERUMANI yote yanavuja na ni mazalia na nyumba za popo.

Hao wazee wa baraza wa mahakama za mwanzo, kulipwa posho zaoimekuwa wimbo sawa na wazee wa East Afrika Community.

Sipati picha hii serikali ya CCM itapata wapi kwanza pesa za kujenga majengo ya mahakama za kadhi. Kumbuka hao ndugu zetu walivyo wakorofi, hawawezi kukubali kuamulia mashauri yao chini ya mwembe. Pesa za kuwalipa hao makadhi watapata wapi kama wanashindwa kuwalipa wazee wa mabaraza! Kwanini hawa CCM wanataka kujibebesha mzigo ambao ni dhahiri hawawezi kuubeba, hizi ni akili za wapi jamani?!, au ndiyo Mungu amewapinga upofu hawasikii la muadhini!
 
sasa hivi.wameanza mdogo mdogo na issues ya sheria kuitambua kadhi kupitia bunge baadaye watataka kingine hadi kadhi mkuu. kaa chonjo
 
wakuu,
kikubwa ambacho wasialam wanagangania kuhusu uanzishwaji wa mahjakama ya kadhi ni upanuzi wa ajira kwao kwa sababu ikianzishwa ni kama mfumo wa mahakama ya sasa ulivyo kwa maana ya mbali na kushugulikia masuala ya kiroho kama wanavyodai lakini hawasemi ni jinsi gani zinavyoendeshwa.

kama baadhi hamjui ngoja niwajulishe.
Kadhi mkuu atakuwa na wasaidizi kwa nchi nzima,watalipwa mishahara na serikali,watakuwa na ofisi,magari na kuingizwa katika ajira rasmi a serikali na taarifa nilizonazo kutoka kwa baadhi ya nchi ambazo utataribu huu upo ni kuwa hakuna mtu nje ya dini hiyo atakayeruhusiwa kuajira katika makakama za kadhi kuanzia kadhi mkuu hadi wa wilaya,Mwanzo.

kwa ufupi ni kuwa ikianzishwa kwa kodi ya waumini wa dini zote itakuwa bonge la ulaji kiajira kwa waislamu ndiyo maana wanakomaa nayo.
U
usiwe na akili ya matope,hujamsikia rais akisema haitagharamikiwa na serikali waza na kufukiria kabla ya kufungua domo lako,el stupido!

acha kukurupuka wewe.hii post ni ya kabla ya 2015.imekuwa updated tu. pole sana
 
Tanzania ya leo inanishangaza sana,hisia za kipuuzipuuzi kama ukabila,udini na ukanda zinashamiri sana.Mfano utaona mtu anapinga vitu kama mahakama ya kadhi kwa sababu inawahusu watu wa kundi moja,hoja hiyo ni nzuri sana kama kweli ingemaanisha kuondoa udini,cha kushangaza ni kuwa,watu wote wanaokataa mahakama ya kadhi wanataka PADRI awe mkuu wa nchi na serikali huku wakiamini hataleta elements za kikanisa ukizingati mtu amelelewa na kusoma muda mrefu kanisani.mapadri na mashekh wangebaki huko madhauni,nchi iongozwe na watu waliosoma shule za kisecular na sio walioandaliwa kuongoza kanisa au misikiti.
 
Unachanganya madawa. Sheikh au Padre anaweza kuwa Rais kama anakidhi sifa. Hatachaguliwa kwa uSheikh au uPadre wake. Na akipata madaraka lazima afuate katiba ya nchi. Simple and clear!
Mbona wapo ma Sheikh wenye sifa kibao kama ilivyo kwa ma Padre.
 
cheap mind discuss people
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom