Tatizo kwa Waislamu si Mahakama ya Kadhi, ni AJIRA! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tatizo kwa Waislamu si Mahakama ya Kadhi, ni AJIRA!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Rutunga M, Jul 3, 2009.

Thread Status:
Not open for further replies.
 1. Rutunga M

  Rutunga M JF-Expert Member

  #1
  Jul 3, 2009
  Joined: Mar 16, 2009
  Messages: 1,556
  Likes Received: 229
  Trophy Points: 160
  wakuu,
  kikubwa ambacho wasialam wanagangania kuhusu uanzishwaji wa mahjakama ya kadhi ni upanuzi wa ajira kwao kwa sababu ikianzishwa ni kama mfumo wa mahakama ya sasa ulivyo kwa maana ya mbali na kushugulikia masuala ya kiroho kama wanavyodai lakini hawasemi ni jinsi gani zinavyoendeshwa.

  kama baadhi hamjui ngoja niwajulishe.
  Kadhi mkuu atakuwa na wasaidizi kwa nchi nzima,watalipwa mishahara na serikali,watakuwa na ofisi,magari na kuingizwa katika ajira rasmi a serikali na taarifa nilizonazo kutoka kwa baadhi ya nchi ambazo utataribu huu upo ni kuwa hakuna mtu nje ya dini hiyo atakayeruhusiwa kuajira katika makakama za kadhi kuanzia kadhi mkuu hadi wa wilaya,Mwanzo.

  kwa ufupi ni kuwa ikianzishwa kwa kodi ya waumini wa dini zote itakuwa bonge la ulaji kiajira kwa waislamu ndiyo maana wanakomaa nayo.

  USHAURI:Kama wanaona ni muhimu kwa nini wasiaziashe wao wenyewe kwa gharama zao badala ya kugangania kugharamia na serikali

  kazi kwenu.
   
 2. MaxShimba

  MaxShimba JF-Expert Member

  #2
  Jul 3, 2009
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 35,816
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  It does make a lot of sense.
   
 3. Ngongo

  Ngongo JF-Expert Member

  #3
  Jul 3, 2009
  Joined: Sep 20, 2008
  Messages: 12,155
  Likes Received: 3,632
  Trophy Points: 280
  Duh hii kali
   
 4. C

  ChiefmTz JF-Expert Member

  #4
  Jul 3, 2009
  Joined: Apr 15, 2008
  Messages: 2,517
  Likes Received: 292
  Trophy Points: 180
  Nani kakwambia
   
 5. Sinkala

  Sinkala JF-Expert Member

  #5
  Jul 3, 2009
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 1,505
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Obvious, si jamaa kule ameshasema John hawezi kusikiliza kesi za kiislamu?!!
   
 6. M

  Malila JF-Expert Member

  #6
  Jul 3, 2009
  Joined: Dec 22, 2007
  Messages: 4,410
  Likes Received: 733
  Trophy Points: 280
  hivi kesi za kiislamu ni zipi na za dini/imani nyingine ni zipi?
   
 7. B

  Babuyao JF-Expert Member

  #7
  Jul 3, 2009
  Joined: Jun 6, 2009
  Messages: 1,734
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  Ulichosema ni kweli! Wanatafuta - jinsi mimi nionavyo - mambo mawili:
  a. Ajira kama ulivyosema, tene ajira ya upendeleo maana ni waislamu tu
  b. wanataka kuingiza ushawishi wa dini yao katika serikali. Wanatafuta KUTAWALA! Na wakifika hapo kwenye mahakama ya kadhi utawasikia. Watataka wapewe kitu kingine tena ndani ya serikali. Mahakama ya kadhi ni mlango wa kuingilia tu. mengine yatafuata baada ya hapo
   
 8. Buchanan

  Buchanan JF Diamond Member

  #8
  Jul 3, 2009
  Joined: May 19, 2009
  Messages: 13,203
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  Kweli tupu! Wanadai tu ianzishwe lakini hii ajenda ya uendeshaji wa mahakama hizo imefichwa kwa muda!
   
 9. R

  Rwabugiri JF-Expert Member

  #9
  Jul 3, 2009
  Joined: Jul 10, 2007
  Messages: 2,777
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Mkuu hawajaificha, kwani jana wamesema wazi John hawezi kufanya ibada ya muislamu, wakimaanisha hawezi kuwa hakimu wa mahakama hiyo!

  Mkuu unacho sahau, baada ya hiyo wataomba wtaalamu pia, hapo wataitaka serikali ianzishe chuo cha kutoa mfunzo kwa mahakimu wa mahakama hizo, ama iwapeleke sauidia? maka? irani? wakajifunze jinsi ya uendeshaji wa mahakama hizo na sheria zake.. yote hiyo hela ya mlipa kodi!

  Halafu wanakomaa kweli, nadhani kuna shida sehemu, mtu huwezi dai upendeleo, inadaiwa haki!
   
 10. Ng'azagala

  Ng'azagala JF-Expert Member

  #10
  Jul 3, 2009
  Joined: Jun 7, 2008
  Messages: 1,275
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 145
  hivi kuna mtu ana organisation structure ya mahakama za kadhi ambazo zipo sasa hivi? hivi ni kweli kuwa zinaanzia mwanzo mpaka mahakama kuu? du kazi kwelikweli
   
 11. Waberoya

  Waberoya Platinum Member

  #11
  Jul 3, 2009
  Joined: Aug 3, 2008
  Messages: 11,578
  Likes Received: 3,881
  Trophy Points: 280
  Mbona naona title anazungumzia waasia wa lamu? kenya? wengine mbona mmeanza kujadili kuhusu waislamu?

  mkuu ipeleke kule kwenye international! sasa hap hatuna matatizo ya kazi, wala makahakama ya kadhi
   
 12. Tumain

  Tumain JF-Expert Member

  #12
  Jul 3, 2009
  Joined: Jun 28, 2009
  Messages: 3,158
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  a) Leta data na research inayoonyesha kwamba waislamu wanahitaji ajira zaidi kuliko wakristo?
  b) Wewe ambaye si muislamu unajuaje umuhimu wa mahakama kama siyo ubinafsi na chuki zako..
  c) Gharama ngapi serikali ime-finance miradi ambayo inahudumia dini moja (wakristo) waislamu hawakuja na hoja za kipuuzi kama hizi
  d) You can postpnent the issue lakini lazima itakuwepo wakati huo itakuwa too late kujadili kwa busara kama sasa
   
 13. Buchanan

  Buchanan JF Diamond Member

  #13
  Jul 3, 2009
  Joined: May 19, 2009
  Messages: 13,203
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  Kule Zanzibar Kadhi Mkuu huteuliwa na Rais wa Zanzibar kwa mujibu wa Kadhis Courts Act, 1985. Huo mfano hautoshi tu kuwaambia kuwa inayotakiwa ni ajira? Hiyo ibada ni geresha tu. Kwani kuna mtu kawazuia kuamua talaka, mirathi na ndoa kivyao bila kuhitaji kuingizwa kwenye mfumo wa sheria za nchi?
   
 14. Buchanan

  Buchanan JF Diamond Member

  #14
  Jul 3, 2009
  Joined: May 19, 2009
  Messages: 13,203
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  Wewe mwenyewe umeingia kichwakichwa bila data za hiyo miradi halafu unataka upewe data. Lete za kwako kwanza!
   
 15. share

  share JF-Expert Member

  #15
  Jul 3, 2009
  Joined: Nov 22, 2008
  Messages: 2,293
  Likes Received: 2,277
  Trophy Points: 280
  Waislamu kwa kuikomalia mahakama ya kadhi wanadhani ni werevu kumbe wanajiaibisha wenyewe. Wanajiaibisha kuwa hawana central organization inayoweza kuratibu mambo yao wanayoyaita ya "ibada" badala yake wanaomba msaada wa serikali. Yaani sasa mambo yao ya "ibada" yaamuliwe na Bunge Dodoma kisha yagharimiwe na kodi za watanzania wote ambao si wote ni waislamu. Wanajiaibisha pia kwa sababu mambo ya ndoa kila dini nchini ina mahakama zake, mfano wakatoliki wana "Marriage tribunals" kuanzia vigangoni mpaka Taifani na wala hawajaomba msaada wa serikali hata siku moja kuzianzisha au kuziendesha, na mambo yanaendelea vizuri kabisa. Waislamu kudai mahakama ya kadhi inayogharimiwa na serikali wanajiaibisha kuwa hawakuwa na akili ya kufikiria namna ya kuzianzisha wenyewe na akili ya kuzihudumia kwa gharama zao. Sasa kama kila dini na dhehebu nchini itadai mahakama yake ianzishwe na serikali tutakuwa na mahakama ngapi? Gharama hizo zitatoka wapi wakati hizi zilizokuwepo ZA SERIKALI zina upungufu wa bajeti. UJINGA mtupu. HATUTAKI kodi zetu zitumike kwaajili ya mahakama za kiislamu. Kama hawawezi kuzianzisha wenyewe kutimiza "ibada" zao basi wasitusumbue sisi. NI UPUMBAVU.
   
 16. Ng'azagala

  Ng'azagala JF-Expert Member

  #16
  Jul 3, 2009
  Joined: Jun 7, 2008
  Messages: 1,275
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 145
  Kuna baadhi ya tips kuhusu kadhi's court kwenye hii discussion ya wenzetu hapo kenya nimezisoma hapa http://www.constitutionnet.org/files/KERE02-535.pdf.
  Nimekatakata ili kuweka issues za kadhi's court tu. mjaribu kuogelea hapo mnaweza kupata chochote

  Let us then move to Article 192, the High Court; Mahakama kuu na inasema hivi: "Mahakama Kuu inajumuhisha
  (a) Jaji kiongozi wa Mahakama
  (b) Idadi ya Majaji wasiopungua hamsini kama itakavyoelezwa na sheria ya Bunge.
  2. Jaji Kiongozi anaweza, kwa kushauriana na Jaji Mkuu, kuunda vitengo vya Mahakama kuu na kufafanua mamlaka ya kisheria ya vitengo hivyo." Hapo chini kuna mamlaka ya kisheria ya mahakama kuu na mnaweza kusoma. ………………………………………………..
  I want now to take you to the Kadhi's Court and that is in Article 199 na inasema hivi; Mahakama za Kadhi "Kuna mahakama za Kadhi, ofisi ya Kadhi Mkuu, ofisi ya Kadhi mwandamizi na ofisi ya Kadhi.
  Kutakuwa na idadi isiyopungua thelathini ya Makadhi wengine kama itakavyofafanuliwa na sheria za Bunge.
  Kadhi amewezeshwa kushikilia Mahakama ya Kadhi inayojulikana kama Mahakama ya Kadhi ya wilaya akiwa na uwezo wa kisheria katika wilaya moja au wilaya nyingi kama inavyofafanuliwa chini ya au na sheria ya Bunge.
  Then we have qualifications but before I go to qualifications of Kadhis, I want to take you to qualifications for appointment of Judges, Article 195 page 24. If you read the qualification for the appointment of Judges, just go to article 195 b and c and you will find some conditions, which the new Constitution is recommending for the
  ………………………………………….
  ………………………..
  2. On attaining the retirement age, a Judge of the Superior Courts of record may continue in office for a period not exceeding six order to enable the Judge to deliver judgement or perform any other functions related to proceedings that were commenced before the judge prior to attaining the age of retirement. So that is about the age of retirement na ukiwa una maoni fulani, you are free to give it.
  The kadhi's courts that I have read to you, our brothers of the Muslim community felt that their interests also need to be catered for in terms of Islamic or Muslim interpretation and therefore we have decided to level the courts up to the level of the high court but I would like to read qualification for appointment of Kadhis in Article 202, for the interest of the Muslim community. We are recommending the following
  1. A person is qualified to be appointed as Chief Kadhi if that person
  (a) is a Muslim of not less than thirty-five years of age
  (b) is an advocate of the high court of Kenya of at least ten years experience as a legal practitioner and has attended and obtained a recognized qualification in Muslim Personal Law application to any sect or sects of Islam from a recognized University.
  (c) has obtained a degree in Islamic Law from a recognized University and has not less than 10 years in the practice of Islamic law or has held the office of a Kadhi for a similar period.
  ………………………………………………….
  ……………………………………………………..
  The High Court Kadhi: The Muslims have been given the power to have a High Court. Now, you know the rules of Muslims are able to sentence somebody got in illegal sex, someone gets buried while standing to the head and the Constitution is saying there is no difference. How are we going to do it if the High Court and Chief Kadhi are able to profer their laws?
  They will actually seal the sentence. Thank you very much, that is my contribution.

  unaweza fungua link hapo juu upate zaidi
   
 17. B

  Bw.Ukoko Member

  #17
  Jul 3, 2009
  Joined: Jun 26, 2009
  Messages: 26
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0


  Tena,kuna kitu akijaandikwa
  Ni kuwa katika uendeshaji wa mahakama ya kadhi yale masuala ya ugomvi kati ya wenye dini hiyo na waumini tofauti na wao yatakuwa yakipelekwa kwenye mahakama hizo badala ya kufikishwa katika mahakama za kiaserikali.

  mfano.
  (1)Musa akivunja ndoa ya james kwa kumuoa mkewe,kesi hiyo itapelekwa kwa kadhi badala ya ustawi wa jamii au mahakama za serikali
  (2)Rashid akimfumania Josep akiwa na mkewe,kisha kumcharanga mapanga kesi hiyo itatua kwa kadhi badala ya mahakama za kiserikali

  LAKINI:Mahakama hizo pia zina umuhimu kwa baadhi ya masuala ya kiroho kwa dini moja ya kiisalam hivyo nadhani ni bora wajigharamie wao wenyewe.

  Nafanya kila linalowezekana kuweka humu muundo wa mahakama hiyo,
   
 18. rmashauri

  rmashauri JF-Expert Member

  #18
  Jul 3, 2009
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 3,008
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Mkuu Tumain,
  Hiyo kwenye nyekundu hebu tupe mifano halisi rafiki yangu ili tujiridhishe.
   
 19. Buchanan

  Buchanan JF Diamond Member

  #19
  Jul 3, 2009
  Joined: May 19, 2009
  Messages: 13,203
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  Hawa jamaa wanataka mambo yao yapitie Dodoma kwa sababu yameambatana na kupiga watu mawe, kuchapa viboko hadharani, kukata mikono ya watu, nk. Kwa hiyo wanataka kuyatafutia uhalali wa kisheria ili baadaye ije kuwa ngumu kuyaondoa kama tukiona mabaya. Nigeria kuna mama mmoja, Amina kama sikosei, ameponea chupuchupu kupigwa mawe kwa hizo mahakama za Kadhi.
   
 20. L

  Lukundo Member

  #20
  Jul 3, 2009
  Joined: Feb 19, 2009
  Messages: 61
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  alichosema na kuandika Lutunga ni sahihi hasa, lakini ndo imeshatoka hivyo. naamini serikali japo ya wasanii haitakula matapishi yake. Lakini pia najiuliza, mbona wakristu wanaaina zao za kusolve matatizo yao bila kuingiliwa na serikali, kwani wenzangu waislamu tusifuate mfumo huo?
  TUSIPOENDA SHULE, TUTAENDESHWA KWA HISIA KAMA WENZETU WA SOMALIA, AFGHAN, PAKISTANI. NASHAURI TUSOME SANA. TUSIMTISHIE MTU MZIMA NYAU KWA KUSEMA HATUTAICHAGUA CCM.
   
Thread Status:
Not open for further replies.
Loading...