Tatizo kubwa tulilonalo hapa nchini sio pesa, bali ni waoga kufanya maamuzi

mushijcob

Senior Member
May 20, 2015
104
69
Tatizo kubwa tulilonalo hapa nchini sio pesa. Tatizo kubwa tuna watu wengi ambao ni waoga kufanya maamuzi. Mtu anakutana na fursa nyingi anahamasika Lakini tatizo lipo kwenye kuchukua hatua.

Upo hivyo ulivyo leo kwa sababu ya maamuzi uliyoyafanya siku za nyuma pia vile vile upo vile ulivyo haujaendelea, kwa sababu ya woga uliogopa Kufanya maamuzi juu ya fursa uliyokutana nayo.

Maisha yako yaanza kubadilika pale tu utakapoanza kuchukua maamuzi sahihi juu ya fursa mbalimbali zinazokuzunguka na unazokutana nazo kila siku. Acha woga hakuna kisichowezekana hata wewe unaweza kufanya mambo makubwa na ukaacha historia hapa duniani kabla hujaondoka, wapo Vijana wadogo wanaozungumziwa kila siku na bado hata hawamaliza safari kwanini usianze na wewe leo?

Ni wakati wa kufanya maamuzi sasa kama kila siku unapanga mambo na hayatokei unarudi pale pale ulipo, fanya maamuzi leo, woga ni adui yako wa kwanza anza kumkataa huyo adu kwanza.

Pia usiishie kufanya maamuzi tu anza safari pambana hadi jasho la mwisho hadi upate kile unachokitaka.

Ni wakati wako acha kusita sita muda unakwenda una masaa 24 tu unayoyachezea kila siku na ndio hayo hayo wanayotumia wenzako na wamekua mabilionea.

Twende tukaipindue dunia.
Asante sana na Karibu
©Jacob Mushi 2016 Tuandikie 0654726668 E-mail jcobtz@gmail.com
 
Tatizo kubwa tulilonalo hapa nchini sio pesa. Tatizo kubwa tuna watu wengi ambao ni waoga kufanya maamuzi. Mtu anakutana na fursa nyingi anahamasika Lakini tatizo lipo kwenye kuchukua hatua.

Upo hivyo ulivyo leo kwa sababu ya maamuzi uliyoyafanya siku za nyuma pia vile vile upo vile ulivyo haujaendelea, kwa sababu ya woga uliogopa Kufanya maamuzi juu ya fursa uliyokutana nayo.

Maisha yako yaanza kubadilika pale tu utakapoanza kuchukua maamuzi sahihi juu ya fursa mbalimbali zinazokuzunguka na unazokutana nazo kila siku. Acha woga hakuna kisichowezekana hata wewe unaweza kufanya mambo makubwa na ukaacha historia hapa duniani kabla hujaondoka, wapo Vijana wadogo wanaozungumziwa kila siku na bado hata hawamaliza safari kwanini usianze na wewe leo.?
Ni wakati wa kufanya maamuzi sasa kama kila siku unapanga mambo na hayatokei unarudi pale pale ulipo, fanya maamuzi leo, woga ni adui yako wa kwanza anza kumkataa huyo adu kwanza.
Pia usiishie kufanya maamuzi tu anza safari pambana hadi jasho la mwisho hadi upate kile unachokitaka.

Ni wakati wako acha kusita sita muda unakwenda una masaa 24 tu unayoyachezea kila siku na ndio hayo hayo wanayotumia wenzako na wamekua mabilionea.

Twende tukaipindue dunia.
Asante sana na Karibu
©Jacob Mushi 2016 Tuandikie 0654726668 E-mail jcobtz@gmail.com
Soma zuri mkuu tupe makala nyingine kama hizi
 
Yale mambo madogo madogo unayoyafanya kila siku ndio yanaleta matokeo makubwa haiwezekani ukaanza kufanya mambo makubwa ghafla tu. Unaanza kidogo kidogo kisha unapanda hatua kwa hatua. Leo nimekushirikisha mambo saba ya muhimu ambayo ukiweza kuyafanyia kazi utaweza kusonga mbele kibiashara kikazi au hata kwenye mahusiano yako jisomee zaidi hapa MoJa Technologies Group: Vitu 7 vya muhimu kufahamu ili uweze kusonga mbele.
 
Back
Top Bottom