Tatizo katika Desktop computer

Felixtz

Member
Joined
Oct 19, 2015
Posts
55
Reaction score
17
Habari zenu wanajamvi, nina desktop aina ya dell nlipewa na mtu ila cha ajabu nimeiconnect na tower lakini nikiiwasha inaandika "no signal" afu inajizima yenyewe. Tatizo linaeza kua lipi, msaada tafadhali.
 
Inajizima kwa maana ya "Sleep", tower itakuwa ipo Off na check connections za cables.
 
Desktop ama monitor? Unaoconect vp desktop na tower?
 
Kuna taarifa zinafurahisha sana...

Ngoja waje kukupa muongozo...
 
Angalia ports kwanza kama ipo zaidi ya vga Jaribu kubadili. Fanya trial and error chukua hio monitor na desktop nyengine na desktop na monitor nyengine.

Kuna port moja ya dvi mkuu
 
Computer yangu ilizima baada ya umeme kukata, umeme uliporudi nlipowasha monitor haikuwaka tena, nini tatizo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…