Tatizo hili ni la mke wangu tu au wanawake wote married?

Congo

Congo

JF-Expert Member
Joined
Mar 13, 2008
Messages
1,412
Likes
738
Points
280
Congo

Congo

JF-Expert Member
Joined Mar 13, 2008
1,412 738 280
Kama tabia zake hizo hazihusu ngono, zivumilie. Kama zinahusu ngono jiandae, ndoa hatarini.

Mwana Kwetu

Mwana Kwetu

JF-Expert Member
Joined
Jul 12, 2011
Messages
653
Likes
277
Points
80
Mwana Kwetu

Mwana Kwetu

JF-Expert Member
Joined Jul 12, 2011
653 277 80

Mke una kafundwa akafundika,eti umuache.au una smallhouse nini?
Sina small kibanda kwani hata humu nisingekuja bali kuhamia tu ili huku mambo yakinyooka ndo nirudi

BAK

BAK

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2007
Messages
83,704
Likes
125,626
Points
280
BAK

BAK

JF-Expert Member
Joined Feb 11, 2007
83,704 125,626 280
Huwa siyo hivyo tu wakati akisha chemsha na ugomvi kutokea mkubwa ukianza kumwambia sikutaki tena yeye kuliko aondoke kuna wakati unamkuta sebuleni anaendelea kupasi nguo zako na baada ya hapo anakutengenezea chai ingawaje inakuwaga vigumu kunywa kutokana na hasira.
Angalia usije ukaharibu ndoa yako kwa mambo madogo madogo. Mke kama huyu ambaye bado anakufanyia shughuli zinazokuhusu wewe hata baada ya ugomvi mkubwa ni bomba sana na ni nadra sana kupatikana wanawake kama hawa siku hizi. Tuliza akili uishi na mke au utakuja kulia kilio cha mbwa.

Nsiande

Nsiande

JF-Expert Member
Joined
Jul 27, 2009
Messages
1,649
Likes
19
Points
135
Nsiande

Nsiande

JF-Expert Member
Joined Jul 27, 2009
1,649 19 135
Huwa siyo hivyo tu wakati akisha chemsha na ugomvi kutokea mkubwa ukianza kumwambia sikutaki tena yeye kuliko aondoke kuna wakati unamkuta sebuleni anaendelea kupasi nguo zako na baada ya hapo anakutengenezea chai ingawaje inakuwaga vigumu kunywa kutokana na hasira.

Kwakweli mimi naona tatizo la mke wako ni kuwa hapay attention to details hivyo unawajibika kumwandikia na hiyo inakukwaza zaidi ya hapo she's a workaholic, hanywi, ana spend muda mrefu nyumbani etc, pengine na wewe una kajiwivu kidogo kuwa anaprosper sana kazini kwahiyo unakasirika ukikuta nguo juu ya TV and to prove ur point unamfukuza kuonyesha kuna kitu uko above yeye, hivi siku akiondoka na asirudi utafanyeje ? Kumbuka nyote mnaamka saa 12 kwenda kazini nyote wawili mnarudi na hizi foleni labda saa 2, muda mnaofika inabidi abebe jukumu la umama kuangalia mazingira ya home na watoto, kwakweli si kila siku unaweza kupata hizo nguvu,

Mweleweshe kwa upole kwani hafanyi makusudi

nyumba kubwa

nyumba kubwa

JF-Expert Member
Joined
Oct 8, 2010
Messages
10,313
Likes
1,832
Points
280
nyumba kubwa

nyumba kubwa

JF-Expert Member
Joined Oct 8, 2010
10,313 1,832 280
Si ndo na mimi nazidi kuona jinsi mkewe alivyo a blessing. Yani ugombane na wife afu akakupikie chai akunyooshee nguo??? Wenzako wananuniwa mwezi na unyumba hawapewi na hapewi mtu talaka.
We nomally take what we have for granted (untill its gone.)

you sound like control freak,na hii ndoa umeichoka unamtafutia reasons tu mwenzio za kujustfy kuchoka kwako....wanaume sijui mkoje mnataka kwenda kutafuta nyumba ndogo nendeni sio mnaanza kumtafuta mchawi kwa kutafuta vikosa vidogo vidogo na kuanza kuvikuza,mkeo hana tatizo wewe ndio una tatizo kama ukimfukuza haondoki,ondoka wewe,wewe si ndio umeichoka ndoa? kwa nini yeye aondoke?

BAK

BAK

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2007
Messages
83,704
Likes
125,626
Points
280
BAK

BAK

JF-Expert Member
Joined Feb 11, 2007
83,704 125,626 280
Si ndo na mimi nazidi kuona jinsi mkewe alivyo a blessing. Yani ugombane na wife afu akakupikie chai??? Wenzano wananuniwa mwezi na unyumba hawapewi.
We nomally take what we have for granted (untill its gone.)
Mkuu NK, Mke hapa si tatizo kabisa, mwenye matatizo ni huyu jamaa ambaye hajui kama amebahatika kuwa na mke mwenye tabia nzuri sana. Kweli waswahili hawakukosea waliposema kwenye miti hakuna wajenzi.

Mwana Kwetu

Mwana Kwetu

JF-Expert Member
Joined
Jul 12, 2011
Messages
653
Likes
277
Points
80
Mwana Kwetu

Mwana Kwetu

JF-Expert Member
Joined Jul 12, 2011
653 277 80
you sound like control freak,na hii ndoa umeichoka unamtafutia reasons tu mwenzio za kujustfy kuchoka kwako....wanaume sijui mkoje mnataka kwenda kutafuta nyumba ndogo nendeni sio mnaanza kumtafuta mchawi kwa kutafuta vikosa vidogo vidogo na kuanza kuvikuza,mkeo hana tatizo wewe ndio una tatizo kama ukimfukuza haondoki,ondoka wewe,wewe si ndio umeichoka ndoa? kwa nini yeye aondoke?
TGNP mko very biased kwani siku zote mnawaona wanawake ni malaika na siku zote tunawaonea. Nitake radhi kuniambia niondoke kwenye nyumba yangu niliyojenga; kumbuka mimi niklikuwepo yeye ndo aliyekuja. Iweje nimwachie aliyekaribishwa nyumba; Nikithubutu tu kufanya hivyo itabidi ndugu zangu na marafiki wanipeleke Mirembe kupimwa kama bado zimetimia au nahitaji kuwekewa drip ya ufahamu.

kichomiz

kichomiz

JF-Expert Member
Joined
Feb 28, 2011
Messages
13,999
Likes
4,520
Points
280
kichomiz

kichomiz

JF-Expert Member
Joined Feb 28, 2011
13,999 4,520 280
Mimi ni mwadilifu itakuwa hatari kila mwana nke kunichungulia navuta subira kwanza bana!!!!!!!

Kwani umeshachunguliwa mara ngapi mpaka hapo ulipo?au huyo ndio alikutoa bikra?

Mwana Kwetu

Mwana Kwetu

JF-Expert Member
Joined
Jul 12, 2011
Messages
653
Likes
277
Points
80
Mwana Kwetu

Mwana Kwetu

JF-Expert Member
Joined Jul 12, 2011
653 277 80
Mkuu NK, Mke hapa si tatizo kabisa, mwenye matatizo ni huyu jamaa ambaye hajui kama amebahatika kuwa na mke mwenye tabia nzuri sana. Kweli waswahili hawakukosea waliposema kwenye miti hakuna wajenzi.
Mnaochangia mmeoa au mnachangia tu kwa uzoefu wa kusoma kwenye vitabu vya udaku.? Kuanzia wadhamini nimewaeleza na walishachoka kumweleza na wakasema hatuwezi kuongea na sikio la kufa. wazazi wake walishamwambia na kumwonya na kumfunda mara ya pili na wakaniomba nirudi kukaa naye akileta shida niwaambie tena . Hii ndo ni mojawapo ya sababu kuwa hathubutu kabisa kwenda kwao nikimfukuza. NINGEKUWA MI NINA MATATIZO HAWA MASHAHIDI WOTE INCLUDING WAZAZI WAKE TENA WENYE UWEZO WASINGEMWONYA NA KUMWEKA KIKAO.

Victoire

Victoire

JF-Expert Member
Joined
Jul 4, 2008
Messages
11,228
Likes
9,816
Points
280
Victoire

Victoire

JF-Expert Member
Joined Jul 4, 2008
11,228 9,816 280
TGNP mko very biased kwani siku zote mnawaona wanawake ni malaika na siku zote tunawaonea. Nitake radhi kuniambia niondoke kwenye nyumba yangu niliyojenga; kumbuka mimi niklikuwepo yeye ndo aliyekuja. Iweje nimwachie aliyekaribishwa nyumba; Nikithubutu tu kufanya hivyo itabidi ndugu zangu na marafiki wanipeleke Mirembe kupimwa kama bado zimetimia au nahitaji kuwekewa drip ya ufahamu.

Yaani wewe ungekuwa mme wangu ningekuonyesha adabu,MIMI KWEnye nyumba sitoki haijalishi umejenga wewe.NAJUA MLANGo Wa kuingilia wa kutokea siujui

Mwana Kwetu

Mwana Kwetu

JF-Expert Member
Joined
Jul 12, 2011
Messages
653
Likes
277
Points
80
Mwana Kwetu

Mwana Kwetu

JF-Expert Member
Joined Jul 12, 2011
653 277 80

Kwani umeshachunguliwa mara ngapi mpaka hapo ulipo?au huyo ndio alikutoa bikra?
Mkuu naona umekuwa interested kutoka na hii sehemu; jibu ni hapana ila baada ya kuona nimekuwa mutu muzima nikaona si vyema kila kabinti nikakavulia sariwali.

SMU

SMU

JF-Expert Member
Joined
Feb 14, 2008
Messages
8,573
Likes
3,259
Points
280
SMU

SMU

JF-Expert Member
Joined Feb 14, 2008
8,573 3,259 280
Mwana kwetu,
Hii inanishangaza kidogo hasa nikizingatia umri wa hiyo ndoa(12yrs). Kwa haya maelezo kwa haraka mtu anaweza kufikiri ndoa ina less than 5yrs! Hii ndoa yenu ina watoto? Wangapi? Na je mke ana umri gani (just a 2yrs range will do)?

Mwana Kwetu

Mwana Kwetu

JF-Expert Member
Joined
Jul 12, 2011
Messages
653
Likes
277
Points
80
Mwana Kwetu

Mwana Kwetu

JF-Expert Member
Joined Jul 12, 2011
653 277 80

Yaani wewe ungekuwa mme wangu ningekuonyesha adabu,MIMI KWEnye nyumba sitoki haijalishi umejenga wewe.NAJUA MLANGo Wa kuingilia wa kutokea siujui
Mnajua mkitoka tu kesho yake mnakuta nyumba iko occupied tayari; naona wote mna strategy inayofanan.
Tatizo la akina mama na dada mko very irrational hata kama mwenzao kosa linaonekana obvious bado mtateteana tu sijui mna matatizo gani.

nyumba kubwa

nyumba kubwa

JF-Expert Member
Joined
Oct 8, 2010
Messages
10,313
Likes
1,832
Points
280
nyumba kubwa

nyumba kubwa

JF-Expert Member
Joined Oct 8, 2010
10,313 1,832 280
SMU na mimi naomba niungane na wewe kushangaa. Kweli miaka 12 au typing errors?

Mwana kwetu,
Hii inanishangaza kidogo hasa nikizingatia umri wa hiyo ndoa(12yrs). Kwa haya maelezo kwa haraka mtu anaweza kufikiri ndoa ina less than 5yrs! Hii ndoa yenu ina watoto? Wangapi? Na je mke ana umri gani (just a 2yrs range will do)?

Victoire

Victoire

JF-Expert Member
Joined
Jul 4, 2008
Messages
11,228
Likes
9,816
Points
280
Victoire

Victoire

JF-Expert Member
Joined Jul 4, 2008
11,228 9,816 280
Wewe kaka mkeo anasahau,akigundua anakuomba msamaha.JAMANI UNAJUA UDHAIFU WA MWENZAKO UWE UNAMKUMBUSHA.KUNA SIMU JAMANI USICHOKE KUMKUMBUSHA.

Jestina

Jestina

JF-Expert Member
Joined
Jan 6, 2011
Messages
4,810
Likes
161
Points
160
Jestina

Jestina

JF-Expert Member
Joined Jan 6, 2011
4,810 161 160

Yaani wewe ungekuwa mme wangu ningekuonyesha adabu,MIMI KWEnye nyumba sitoki haijalishi umejenga wewe.NAJUA MLANGo Wa kuingilia wa kutokea siujui
umeona eeeh.maelezo yake yanaonyesha jinsi alivyo self centred labda na mwanamke kamjulia huu udhaifu wake,ndio maana anamrudishia kwa style,haiwezekani ukae mahali hauko appreciated na lijitu selfish kama hili bila kuonyesha hasira yako kiaina,am sure mkewe anafanya makusudi

nyumba kubwa

nyumba kubwa

JF-Expert Member
Joined
Oct 8, 2010
Messages
10,313
Likes
1,832
Points
280
nyumba kubwa

nyumba kubwa

JF-Expert Member
Joined Oct 8, 2010
10,313 1,832 280
Kwa uzoefu wangu wazazi kuwa upande wako haina maana kuwa wewe huko right ila wanaweza kuwa wamekusoma wanajua hupendi kupingwa

Nina dada yangu ali register for PhD mmewe kaja kushtaki home (nikiwa bado mdogo hata sijaolewa).

Baba wacha ampake mafuta kwa mgongo wa chupa huyo shemeji. Dada wacha anune kwenye kikao.
Walipoondoka nyumbani baba kampigia dada simu kamwambia mwanangu keep it up; si lazima ukubali kila asemacho mumeo.

Na mpaka leo ndoa inadunda na dada ana PhD ambayo inaongeza pato ndani.

Mnaochangia mmeoa au mnachangia tu kwa uzoefu wa kusoma kwenye vitabu vya udaku.? Kuanzia wadhamini nimewaeleza na walishachoka kumweleza na wakasema hatuwezi kuongea na sikio la kufa. wazazi wake walishamwambia na kumwonya na kumfunda mara ya pili na wakaniomba nirudi kukaa naye akileta shida niwaambie tena . Hii ndo ni mojawapo ya sababu kuwa hathubutu kabisa kwenda kwao nikimfukuza. NINGEKUWA MI NINA MATATIZO HAWA MASHAHIDI WOTE INCLUDING WAZAZI WAKE TENA WENYE UWEZO WASINGEMWONYA NA KUMWEKA KIKAO.

TIMING

TIMING

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2008
Messages
21,833
Likes
162
Points
160
TIMING

TIMING

JF-Expert Member
Joined Apr 12, 2008
21,833 162 160
Mwanakwetu, sidhani kama kuna mtu perfect na kama kila mke/mme angekuja na issues zake hapa then JF ingekua tribunal

My advice is... i saw somewhere ==== "if you dont like my cooking, lower your standards" this sentence is somehow valid

The Boss

The Boss

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2009
Messages
37,824
Likes
23,232
Points
280
The Boss

The Boss

JF-Expert Member
Joined Aug 18, 2009
37,824 23,232 280
Mnaochangia mmeoa au mnachangia tu kwa uzoefu wa kusoma kwenye vitabu vya udaku.? Kuanzia wadhamini nimewaeleza na walishachoka kumweleza na wakasema hatuwezi kuongea na sikio la kufa. wazazi wake walishamwambia na kumwonya na kumfunda mara ya pili na wakaniomba nirudi kukaa naye akileta shida niwaambie tena . Hii ndo ni mojawapo ya sababu kuwa hathubutu kabisa kwenda kwao nikimfukuza. NINGEKUWA MI NINA MATATIZO HAWA MASHAHIDI WOTE INCLUDING WAZAZI WAKE TENA WENYE UWEZO

WASINGEMWONYA NA KUMWEKA KIKAO.
mkuu kwa wengine hii ni ishara tosha wewe una matatizo...
mwanaume ukishaanza kuleta vikao na kuwaita watu wa nje kujadili mkeo
ni dalili ya gubu na kulalamikalalamika.....

kwani baada ya kazi huwa unafanya nini?tafuta hobies za kuku keep busy zaidi..

Lukansola

Lukansola

JF-Expert Member
Joined
Sep 5, 2010
Messages
5,456
Likes
86
Points
145
Lukansola

Lukansola

JF-Expert Member
Joined Sep 5, 2010
5,456 86 145
mweeh! u need a secretary wa kutunza hiz ahadi for future reference. u must be very controlling and u blv u ar perfect. usishangae one time ukamfukuza akafurahia hadi ukasononeka! sijui kama nyumbani naweza kuwa na targets agreement contract kama kazini. una Personal Development Plan?

Mwenzio anazungumzia kero kwenye mahusiano yake na mpaka ameleta hapa ina maana anataka ushauri baada ya kuchoka na hizo drama. Kama mamaaa atafurahia kufukuzwa si ndio vizuri, unataka jamaa anendlee kuishi na mtu anayefanya maigizo?

Forum statistics

Threads 1,272,257
Members 489,903
Posts 30,445,299