Tatizo hili ni kwangu tu?

Mrimi

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2011
Posts
1,691
Reaction score
641
Wakuu tangu Jmosi usiku internet ya Airtel inakuwa slow sana, muda mwingi speed inakuwa 0.00kb/s ingawa signal strength ianakuwa kubwa hadi 98%.
Hata mchana sometimes inakwamakwama. Tatizo hili ni kwangu tu au na wengine mnalipata?

Najua Airtel mnapita pita humu, nawaomba tafadhali rekebisheni hii kitu.
Tumekuwa tukiwasifia sana kwa huduma yenu ila ktk hili naona ni usaliti wa dhahiri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…