Tatizo gani linafanya simu kuchemka?

Tatizo gani linafanya simu kuchemka?

Mkuu kuna uzi nilifungua kuhusu hilo tatizo utafute utakusaidia
Nisaidie kiongozi nifanyeje kwani hata kushikika aishikiki tena kutokana na joto kali hata nikipigiwa inanibidi niweke earphone ndo niweze kuongea
 
Nisaidie kiongozi nifanyeje kwani hata kushikika aishikiki tena kutokana na joto kali hata nikipigiwa inanibidi niweke earphone ndo niweze kuongea
Daah mkuu mm mwenyewe ni hivo hivo yaani hadi mishare ya shoti naisikia. Ngoja nikutag
 
Wakuu naomba mnisaidie simu yangu ina tatizo la kuchemka kila nifunguapo data ,nimejaribu kurestore simu zaidi ya mara tatu ili niondokane na hili tatizo la kuchemka kwa simu yangu lkn naona bado iko vile vile mpaka ss inachemka ,pia betri lake ni unremovable ,nimejitaidi kuondoa app zisizo za msingi katika simu yangu lkn bado ipo vile vile ,nimejaribu kuweka cool master inasaidie lkn bado ,ndo nimeona nije kwenu najua humu kuna wataalam watanisaidia .SIMU YANGU TECNO W4 WALA HAIJAWAHI ANGUKA CHINI NA SIJAWAHI KUICHAJI IKIWA NA MOTO MM HUWA NAIACHA INAISHIWA CHAJI NDO NAWEKA,ILA NISIPOFUNGUA DATA HAICHEMKI .

Ukiwa unakopa kopa sana katika Mitandao au unawabipu mno wenzio hadi Kero Simu nayo itashindwa kuonyesha Ushirikiano kwako na itakuchemkia tu. Hebu acha hivyo vitu viwili halafu utaona kama itachemka tena Mkuu. Kila la kheri!
 
Back
Top Bottom