Tatizo gani linafanya simu kuchemka?

Tatizo gani linafanya simu kuchemka?

Mjimwem

Member
Joined
Jan 27, 2017
Posts
24
Reaction score
13
Wakuu naomba mnisaidie simu yangu ina tatizo la kuchemka kila nifunguapo data ,nimejaribu kurestore simu zaidi ya mara tatu ili niondokane na hili tatizo la kuchemka kwa simu yangu lkn naona bado iko vile vile mpaka ss inachemka ,pia betri lake ni unremovable ,nimejitaidi kuondoa app zisizo za msingi katika simu yangu lkn bado ipo vile vile ,nimejaribu kuweka cool master inasaidie lkn bado ,ndo nimeona nije kwenu najua humu kuna wataalam watanisaidia .SIMU YANGU TECNO W4 WALA HAIJAWAHI ANGUKA CHINI NA SIJAWAHI KUICHAJI IKIWA NA MOTO MM HUWA NAIACHA INAISHIWA CHAJI NDO NAWEKA,ILA NISIPOFUNGUA DATA HAICHEMKI .
 
Hizo cm ndo zilivo mkuu
 
Tafuta nyingine tu.mimi natumia Sony z4.ili jembe acha kabisa.unaweza ukaitumia hata ukiwa unaichaji.na haipati moto.na data nawasha
 
Kumbe tupo wengi mkuuu.
Mimi natumia Samsung S4 yaani inachemka balaa hadi ukiweka cm kwenye mgongo inababua. Daaah yaan hadi kutachi vzr nashindwa nasikia mishare inachoma kwenye vidole
 
Simu inachemka !!!!! Ni kimiminika au? Basi hilo litakuwa toleo jipya. Fungua data ikiwa ndani ya jokofu (fridge) mambo yataenda vizuri.
 
Back
Top Bottom