Tathmini za kina

Tathmini za kina

Marmeid

JF-Expert Member
Joined
Dec 31, 2024
Posts
524
Reaction score
1,206
1: Je, kuna mtu aliyewahi kukupenda kwa dhati… lakini ulimpoteza kwa sababu zako?

2. Je, unaishi maisha unayotaka… au maisha unayolazimika kuishi?

3. Kama ungepewa nafasi ya kuanza maisha upya, ungechagua watu wale wale?

4. Ni ndoto ipi uliizika kimya kimya ili kuwafurahisha wengine?

5. Je, ni lini mara ya mwisho ulihisi furaha ya kweli bila kujifanya?

6. Ni nani aliyewahi kukuumiza kiasi kwamba bado hujapona mpaka leo?

7. Je, kuna mtu anayekujua wewe halisi bila wewe kujificha?

8. Ni nini unajilaumu nacho kila unapokuwa peke yako?

9. Je, kuna mtu uliwahi kumhitaji sana… lakini hakuwahi kukuchagua?

10. Je, ungepotea leo, ni nani angeumia kweli?

11. Je, unajipenda wewe mwenyewe au unajikubali tu kwa sababu huna chaguo?

12. Ni nani alikuaminisha kwamba haukuwa wa kutosha?

13. Je, ni lini uliishia kuwa mtu ambaye ulimuapia hutokuja kuwa?

14. Je, unavaa tabasamu kuficha maumivu gani?

15. Je, maisha yako ya sasa ni ndoto yako au ni matokeo ya hofu zako?

16. Ni nani ulimwachia nafasi akuvunje moyo bila hata yeye kujua?

17. Je, kuna jambo ulitamani mtu akuokoe… lakini hakuna aliyekuja?

18. Je, ni nani aliyekuonyesha mapenzi kidogo ukaamini ni kila kitu?

19. Ni sehemu gani ya maisha yako unaogopa kuikumbuka?

20. Je, kuna mtu bado ungemchagua hata kama alishakusahau?

21. Je, unaishi au unajaribu tu kuvumilia kila siku?

22. Ni nani ungemwambia “samahani” kama ungepata nafasi ya mwisho?

23. Je, kuna mtu aliondoka na kipande cha moyo wako ambacho hakijawahi kurudi?

23. Ni nini unachoficha nyuma ya nguvu unayoonyesha kwa watu?

24. Je, ni nini ungependa mtu akuulize lakini hakuna anayewahi kuuliza?

25. Je, ni nini unahisi unakosa hata ukiwa na kila kitu?

26. Je, kuna wakati ulitamani usingeamka kesho kwasababu ya maumivu ya moyo?

27. Ni nani angekusikiliza kweli kama ungeamua kusema ukweli wote wa moyo wako?

28. Je, kuna siku ulihisi dunia ingeendelea sawa hata kama usingekuwepo?

29. Je, moyo wako umechoka kupigana na mambo gani kimya kimya?
file_00000000306871fd81f8e51b39c983a8.png
 
29. Je, moyo wako umechoka kupigana na mambo gani kimya kimya?View attachment 3539453
Wacha niandike majibu yangu kwenye NOTES tu🙁
 
Furaha, amani na upendo ( ukiwa na hivi vina cover yote ).

Kwenye maisha yangu siruhusu furaha yangu kuguswa, huwa siruhusu amani na utulivu wangu kuguswa . Na jitahidi kuwa mtu wa upendo all the time. Maisha yenyewe hujui kesho yako kwanini ujibebeshe burden ambazo huna majibu nazo
 
Tunakufa mara moja tu Mzee wangu hakuna binadamu anaeweza kufa mara 2. Ukishagundua hilo hayo maupuuzi yote hayawezi kukusumbua kichwa.
 
Back
Top Bottom