Mazuri Kwa mtazamo UPI yaweza kuwa Mazuri kwako Kwa mwingine sio.Kwa hiyo hata mazuri unapinga? Zitto anaonekana anakomaa sas kwenye siasa
Mazuri Kwa mtazamo UPI yaweza kuwa Mazuri kwako Kwa mwingine sio.Kwa hiyo hata mazuri unapinga? Zitto anaonekana anakomaa sas kwenye siasa
Mazuri Kwa mtazamo UPI yaweza kuwa Mazuri kwako Kwa mwingine sio.
Maskini, hata yeye kakosa!Naunga mkono hoja, kwa tathmini yangu ya awali ya uchaguzi mkuu wa 2020, kama Zitto asiposimama kama mgombea urais wa upinzani, then, Zitto ndio mbunge pekee wa upinzani atakayerejea bungeni.
Bunge la 2020 ni CCM and CCM only.
P