Elections 2010 Tathmini ya Ushindi wa CHADEMA

So far Chadema imetangazwa kupata majimbo 17;

1. Musoma Mjini
2. Iringa Mjini
3. Mbeya Mjini
4. Maswa Mashariki
5. Maswa Maghariki
6. Meatu
7. Bihalamulo
8. Ilemela
9. Nyamagana
10. Hai
11. Moshi Mjini
12. Mbozi Magharibi
13. Arusha Mjini
14. Ukerewe
15. Kigoma Kaskazini
16. Mbulu
17. Ubungo
 
kubali tu mumefulia, yule rais wenu nasikia yuko hospitali kwa pressure hongera cuf mmefanya vizuri kwa pesa ndogo kuliko hiki chama cha watu wa kaskazini.

Chadema wanashinda mijini tu kwa wafanyabiashara na mafisadi.

yo such an em....le! Inaonyesha una upungufu wa akili
 
by the way slaa ana kura ngapi so far kwani tunamtegemea kuwa rais kama wadau wanavyopenda. mwaminifu na mpenda maendeleo.
 
Guys, victory comes not at high speed yet pole pole. Pole pole we are buildin up wabunge wa upinzan. Pole pole tutashinda
 
Jamani Zitto hayuko Kigoma Vijijini ni Kigoma Kaskazini mbona wanajamvi tumekuwa wachakachuaji sana!
 
Back
Top Bottom