Kahtan Ahmed
JF-Expert Member
- Aug 24, 2011
- 765
- 490
sikiliza bluetooth gharama zake zinamtiririko wa maelezo kweli ndio mana sikupata muda wa kuandika hapa ila nitakuandikieni!
Kanyagio nimesema 4000 na kama ikitokea mche haukukua vizuri na mche una maradhi basi utazaa si chini ya 1000
na anaetaka kuyaona machungwa ni bora nimfikishe shambani ajionee mana picha zinadanganya!
nami nimepanda mchungwa hapa nyumbani lakini nikifikiria 4000 naona kama ni machungwa mengi. Labda kama ni ardhi ya ndani ya misitu ya Congo lakini kwa ardhi ya Tz nzima hata Muheza sioniHapo kwenye blue,
Hebu weka vizuri hizo takwimu za uzaaji wa michungwa hiyo tujijue vizuri.
Kweli mchungwa mmoja unaweza kuzaa matunda 4,000 ??? !!! kwa msimu mmoja ?? !!
Hapo kuna shaka katika takwimu zako, maana hata mti mkubwa kama muembe hauwezi kubeba maembe 4,000 kwa wakati mmoja.
Labda mimi sijawahi kuona hii.
Hapo kwenye blue,

kwa kweli mm si muandaaji wa taarifa nzuri ndio mana maelezo yangu hayajatulia na naomba munisamehe kwa hilo na penda kumjibu mmoja mmoja kama ifuatavyo
htuc: ni kweli ukishakua na maji bajeti ya laki saba inatosha kwa irrigation hemu mukipata muda niwapeleke shambani mujionee ninavyowafungia watu hizi iirigation na kila mche kwa siku unapata liter mbili bila ya wasi
zemacorpolo: sikiliza ardhi kwa sasa sehemu za ndani bado ni rahisi laki nne waweza kupata kwa hekari, michungwa ulinzi wake ni wanyama wa kula miche na ukiweka uzio tayari umeshaweka ulinzi na rabda kipindi cha msimu ni lazima uweke mlinzi kwa kipindi hicho cha msimu tu na kuhusu market machungwa kama haya ni ya kipekee na hakuna michungwa mingi aina hii ambayo watu wengi bado hawajaigundua mm nilikua nataka kupanda valencia ila kwa uchunguzi valencia ni mazuri ila hayana uzao mkubwa subiri niwawekee baadhi ya picha
chai chungu miche ipo ila kwa order mana inataka utaalamu kweli upandishia mana inapandishiwa kwa mlimau na inataka utaalamu kuunganishwa tofauti na valencia na jafferView attachment 78093