tathmini ya loliondo kwa babu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

tathmini ya loliondo kwa babu

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by baba k, Apr 1, 2011.

 1. b

  baba k Member

  #1
  Apr 1, 2011
  Joined: Jan 15, 2011
  Messages: 14
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ni baada ya tume mbalimbali.
  1). katika idara ya fedha
  fedha alizopata babu.kwa siku hutibu watu 24000 @500 shs mara siku 65=780,000,000.
  2). watu aliotibu.
  24,000 kwa siku mara 65=1,560,000.watu waliotibiwa mpaka sasa.
  3). maji aliyotumia
  kwa siku ni vikombe 24000,kila kikombe ni robo lita.hivyo kwa siku ni lita 6000 mara 65=lita 390,000.
  4). mazoezi ya mkoni.
  babu huchota mara 2 kujaza kikombe kimoja.kwa siku ni vikombe 24000 mara 2=48000,mara siku 65=3,120,000.hivyo mpaka sasa ametumbukiza mkono katika ndoo mara hizo.
  5). faida ya dawa mbeleni
  wakati wa kuchemsha dawa, mvuke unaokwenda hewani ni mm 46.8 mara sufuria 40 kwa siku=mm 1872 mara 65=mm 1,216,800.hivyo baada ya miaka 2 mbeleni maji ya mvua ya eneo hilo yatakuwa ni dawa.mvua ikinyesha unakinga kikombe na kunywa.baadae hata mboga za loliondo zitakuwa ni dawa.
  6). mazungumzo juu ya babu
  kwa siku watu 56,730 huzungumza habari ya babu. mara siku 65=watu 3,687,450.waliozungumza habari hizo
  *mahesabu yote ni kwa miezi miwili tu.*
  NB babu atatoa mapendekezo mwisho wa wiki hii nikiyapata nitayarusha.(nawe waweza toa mapendekezo ya kuboresha huduma yake.)
   
Loading...