Tathmini ya hali ya kisiasa baada ya uchaguzi

goslin

Member
Aug 22, 2015
6
0
Ufuatao ni tathmini yangu ya hali na mazingira ya kisiasa baada ya uchaguzi mkuu wa mwaka 20015,

Tathmini tangu itajikita mazingira haya mawili
1. Kushinda kwa upinzani na kuanguka kwa chama tawala ( ccm)
2. Kushinda kwa ccm na kushindwa kwa harakati za mabadiliko ( movement for change)

KUSHINDA KWA UPINZANI


endapo vyma vya upinzani vitapata ridhaa ya wananchi na kushika usukani wa kuongoza dola:
1. Demokrasia na uwajibakaji wa dola kwa wanachi utaongezeka kwa sababu hakuna chama kitakacho jiamni kuwa chenyewe kina hati miliki ya taifa hili, watawala wataheshimu wananchi kwa imani kuwa wananchi pekee ndio wenye maamuzi ya mwisho juu ya hatma ya taifa lao
2. Kutakuwa na hofu kuwa wakishindwa ku meet expectatuon za wapiga waliowaeka madarakani wataondolewa without delay uchguzi unaofuata, hali hy ni tofauti na sasa ambapo chama tawala kinajiona kipo juu ya wanachi.
CHAMA TAWALA KITAKAPOSHINDA



Endapo watanzania watairudisha ccm madarakani mambo yafutayo yatatokea

1. Nguvu za upinzani zitaimarika kwa sababu ni dhahiri shahiri kuwa itakuwa na wabunge watakao weza kuisamamia serikali effectively
2. Chama tawala kitajifunza kuwa hata kama kimeshinda lakini kimetikiswa vya kutosha hivyo si ajabu ikaangushwa

Tuombe amani na umoja kwa taifa letu ktk kipindi hiki kigumu
 
Back
Top Bottom