Tathmini ya BRN chini ya Omari Issa

BRN ni ishu ambayo imeishia kubandikwa matangazo kwenye milango ya ofisi za wizara, vitengo, secretariat za mikoa na Halmashauri, mana ni porojo tu
 
BRN ni ishu ambayo imeishia kubandikwa matangazo kwenye milango ya ofisi za wizara, vitengo, secretariat za mikoa na Halmashauri, mana ni porojo tu

..then tatizo liko kwa watendaji wa serikali na sisi wananchi.

..mimi nimeona kama vile BRN ni mpango mzuri unaoweza kutusaidia.

..Malaysia wameshaujaribu na ukawapa matokeo mazuri.

..wa-Tz tunatakiwa tuangalie ni jinsi gani mpango huo unaweza kufanya kazi ktk mazingira yetu.
 
ndugu ya ngu nakubaliana na wewe kwa 100%,
mimi ni mmoja wa wasimamizi wa mpango huu pale ofisini
tatizo kubwa mpango huu tumecopy na kupaste bila kuangalia
Critical Success factor analysis, am taking you to strategic mgt sasa,
mipango iliyoandaliwa ni mizuri sana na imebaki kwenye maandishi TATIZO KUBWA RESOURCES HAKUNA NA TUNALAZIMISHWA KUANDAA HIVYO HIVYO,

kibaya zaidi tuanaanza kuongopa sasa, kama vile kuongeza grade za ufaulu bila sababu za msingi
ushahidi angalia matokeo ya form two ya sasa utaamini.

Tunaliangamiza taifa kwaajili ya uchaguzi wa mwaka 2015, inatia uchungu sana
sijui tunazalisha kizazi gani

 
Hii BRN haiwezi kufanya kazi wakati the ntire SYSTEM IS BROKEN


Omari issa anaongea kama vile mwanafunzi wa mwaka wa kwanza wa University yuko too IDEALISTIC

mleta mada anasahau kuwa huwezi kupata TRANSPARENCY kama SYSTEM haitaki hayo mambo ya transparency

namwonea huruma huyu Mkurya
 
Unaanzishwa mpango lkn utekelezaji wa bajeti hata robo ya bajeti haifikiwi means hakuna hela zote wamefisadi mipango karibia yote ndan ya halmashauri haitelezeki kwasababu ya kukosa fedha hiyo BRN ni viini macho tu hakuna jipya hapo tutakalopata wa tz that is a shame
 
 
BNR ni deal kama deal zingine tulizozoea kuziona na kuzisikia. Kiko wapi kilimo kwanza? nk.
 
Hii kazi huyu jamaa sielewi kwa nini aliikubali bla kuitathmini

Ishaingia kwenye doa la CV yake
 
Alikuwa ITV asubuhi ya leo! Mchekini kwa ITV youtube maana huwa wanasema wanapatikana kwa youtube, pia nasikia watu wa BRN watakuwa Mlimani City wakieleza mafanikio yao ambayo huyu jamaa alikuwa anataabika kutuelezea! jamaa anaulizwa maswali ya kawaida kama "tofauti ya mikakati yenu na ya wizarani nini? Kwenye kipaumbele kuhusu elimu mmeweka shule ziwe na maabara, sasa inakuaje maabara iwe kipaumbele wakati hamna madawati na mwalimu hajalipwa mishahara yake! hayo ni machache niliyoyasikia! Duh, nilifikiri kuuza vipande ni ngumu mpaka nilipomsikiliza huyu jamaa aisee! Ngoja nimuhurumie, labda Rainfred Masako alikuwa amempania!
 

Mkuu vipi BRN sasa ipo wapi?
 

Mkuu vipi BRN sasa ipo wapi?
 
BRN itaondoka na JK hata watu wa planning commission wapo confused wanwanashindwa kumface mkuu wamebaki kucompile report kutoka MDAs bila hata kuwa critical kwa vitu ambavyo vipo very obvious.unasema eetikiwango cha ufaulu kimepanda kweli?

I am afraid huu utabiri wako ulikuwa sahihi mkuu!

Kiukweli while JK alikuwa na yake mazuri lakini sidhani kama HE was prepared to lead/be a leader of a poor people and resource rich nation like Tanzania.
 
Mi nafikiri kumaanisha (commitment) ndiyo suala la msingi ambalo tunakosa, being detailed comes next. Kama wangekuwa kweli wanamaanisha wangeona kuna uhitaji wa watu makini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…