ngilenengo1
JF-Expert Member
- Feb 14, 2012
- 1,275
- 605
Those are legit questions. And you would expect Watu Kama hao wenye exposure wangetusaidia kujenga mising ya accountability. Again unaona Watu hapa wanakuja na kusingizia system. Now you wonder hiyo system ina Watu gani..zaidi ya hawa hawa.....
hopefully na yeye anapita humu...
kinachoshangaza ni kuwa the so called GREAT THINKERS and ANALYSTS wa JAMIIFORUMS wameakua kukaa kimya
Lakini utawaona wanavyolumbana kwenye threads za mwanasiasa yupi anajaza mikutano ya hadhara
Zamani ilikuwa ukiingia JF Jukwaa la siasa unapata burudani na unapata kujifunza mengi kutokana na quality za michango
I'm out
RIP JAMIIFORUMS
Unajua saa zingine japo wanamchukia January Makamba lakini naamini vijana kama yeye wakipewa nafasi wataleta team mpya yenye mawazo na damu mpya
Huu mzao wa akina JK umeshindwa ku connect na dunia ya kileo ya accountability
Hivi huyu Omari Issa alikuwa hana wapambe wa kumfanyia research hicho cheo kujua kama its worth his time and intellect kudeal na majitu na system iliyokuwa broken?
kinachoshangaza ni kuwa the so called GREAT THINKERS and ANALYSTS wa JAMIIFORUMS wameakua kukaa kimya
Lakini utawaona wanavyolumbana kwenye threads za mwanasiasa yupi anajaza mikutano ya hadhara
Zamani ilikuwa ukiingia JF Jukwaa la siasa unapata burudani na unapata kujifunza mengi kutokana na quality za michango
I'm out
RIP JAMIIFORUMS
Mkuu Inconvenient Truths, you have my sympathies. Kusema kweli mpango wa watetezi wa staus quo umefanikiwa kwa kiasi kikubwa na cha kutisha. Kwamba JF bado ipo na inaendelea kuwepo ndilo jambo linalolotakiwa likushangaze zaidi...naam ingawa linaendelea kuwepo lakini hadhi ndio kama hivyo unavyoshuhudia na FYI hilo ndilo lilikuwa lengo lao hao hao unaotaka wakupe majibu. Yawezekana wewe ni mgeni humu, lakini wapo watu wamepanga/wamepangwa kuharibu mada kama hizi na hizo fitina zao ndizo kwa kiwango fulani zinawakatisha watu tamaa.kinachoshangaza ni kuwa the so called GREAT THINKERS and ANALYSTS wa JAMIIFORUMS wameakua kukaa kimya
Lakini utawaona wanavyolumbana kwenye threads za mwanasiasa yupi anajaza mikutano ya hadhara
Zamani ilikuwa ukiingia JF Jukwaa la siasa unapata burudani na unapata kujifunza mengi kutokana na quality za michango
I'm out
RIP JAMIIFORUMS
Nakubaliana nawe 100%. BRN hata katika family level ipo.Chademakwanza,
..brn siyo lazima iwe serikalini tu.
..hata ndani ya CDM na nyinyi mnaweza kuwa na mpango wenu wa BRN.
..BRN inahusisha kujiwekea malengo makubwa, kuyatekeleza kwa nguvu zote, na kupima mafanikio na matatizo mara kwa mara.
..Je, operation Sangara ilifanyiwa tathmini yoyote? Je, tamthmini hiyo ilifanyiwa kazi wakati wa operation M4C?
Pasco, Nguruvi3, Candid Scope, Molemo