Kwenye kauli zake na kampeni zake mashuhuri duniani, mweshimu miwa barack obama alikuwa akitumia slogan ya yes we can. Nashangaa kama jamaa anafikiri bado watanzania hawana TV, nitanukuu kauli yake ya jana mara baada ya nassari kuongea alisema "YES WE CAN" mbona sioni kauli hata moja ya wanachadema. hivi siyo kwamba Mbowe bado anamwigiza OBAMA?embu wadau tuwaelimishe hawa wasanii

Unajua maana siri?? kwahiyo Mh Mbowe kusema Yes We can kwako ndio siri imefichuka? fikiria kwa tumia kichwa cha juu si cha chini?? na kama huwezi kufunga acha inawezekana swaum ndio inakupleka fyongo.Kwenye kauli zake na kampeni zake mashuhuri duniani, mweshimu miwa barack obama alikuwa akitumia slogan ya yes we can. Nashangaa kama jamaa anafikiri bado watanzania hawana TV, nitanukuu kauli yake ya jana mara baada ya nassari kuongea alisema "YES WE CAN" mbona sioni kauli hata moja ya wanachadema. hivi siyo kwamba Mbowe bado anamwigiza OBAMA?embu wadau tuwaelimishe hawa wasanii
Si busara sana kulalamika kwa mapungufu yaliyojitokeza katika tukio la leo na si vibaya kupongeza na kudumisha yote mazuri katika tukio hili hapo SERENA HOTEL.
Nini Tathmini yako Mpenda mbadiliko na nini kifanyike siku zijazo?
kuwa na akili fupi kama ya kuku ni noma aisee, maana jogoo akikimbizwa tu anafikiri anataka kuchinjwa, bila kufikiri jike nae akimwona tu jogoo anakimbia anafikiri anataka kupewa mambo. sasa wewe nae umesikia kichwa ukawaza yale yalee ya kugongwa, mi sipo huko shekhe nimefunga. nicheki baada ya mfungoUnajua maana siri?? kwahiyo Mh Mbowe kusema Yes We can kwako ndio siri imefichuka? fikiria kwa tumia kichwa cha juu si cha chini?? na kama huwezi kufunga acha inawezekana swaum ndio inakupleka fyongo.
M4C chama alichokianzia mwanadada mmoja na jamaa fulani nchini wingereza akiwa na objective kubwa ya kusambaza matawi yake ndani na nje ya nchi na kukusanya fedha nyingi kama mnabisha tembeleeni Movement for Change | Home waasisi wake wanaitwa
Stella Creasy/Ed Miliband .
na ninasikia mara baada ya godbless lema kumaliza kikao chake cha kufungua tawi lao londoni alikwenda kuripoti maendeleo ya CDM nyumbani kwa huyu mwanamama. sasa kwa mwendo huu Afrika umasikini utaisha lini?
kama kuna mtu anabisha abatilishe kwa hoja.