Tathmini: Dhamira ya "maandamano ya Mange" imefanikiwa

Tathmini: Dhamira ya "maandamano ya Mange" imefanikiwa

Mimi sina shida, nina kazi na pesa

Naweza tu kuisifia CCM na kupiga vigele gele....

Ila tu, naangalia wananchi wengine, nisiwe mbinafsi...

Kuna vijana wengi hawana ajira

kuna wazee hawajalipwa mafao

Wafanyakazi wameporwa haki zao za Mafao...FAO LA KUJITOA na figisu nyingi sanaa

Wafanyakazi hawajaongezewa mshahara

Kagera walipata tetemeko na misaada yao ikaliwa

Imagine hadi waalimu na Madokta bado wako mtaani
 
Maandamano yaliyopangwa kufanyika jana April 26, 2018 hayakutokea. Hilo halina mjadala.Na wala si la kushangaza. Kwa nguvu kubwa iliyoonyeshwa na vyombo vya dola juzi, ilihitaji zaidi ya ujasiri kwa mtu kujitokeza mtaani kuandamana.

Ni rahisi kuwalaumu Watanzania kuwa ni watu wa maneno zaidi kuliko vitendo. Japo hilo lina ukweli kwa kiasi flani — na lilipaswa kuzingatiwa wakati wa maandalizi ya maandamano hayo — lakini ukweli unabaki kuwa Magufuli alikuwa keshajiandaa “kunywa damu za waandamanaji.”

Sasa haihitaji uelewa japo mdogo wa tasnia ya mikakati kubaini kwamba kama unafahamu fika kwamba adui yako ametega mabomu njia flani, basi usipite njia hiyo.

Vita yoyote ile inahitaji mikakati. Na mikakati ya vita huwa flexible, kwa maana kwamba inaweza kubadilika muda wowote ule. Na mkakati hujumusha wapangaji wa mkakati husika na watekelezaji wa mkakati huo.

Katika suala la maandamano hayo, mhusika mkuu katika kupanga mikakati ya maandamano hayo alikuwa bloga wa Kitanzanian anayeishi nchini Marekani, Mange Kimambi.

Na watekelezaji wa mikakati ya maandamano hayo walikuwa Watanzania wote wanaoguswa na hali ilivyo huko nyumbani.

Na haijalishi jitihada kubwa kiasi gani zimetumika katika kuandaa mkakati, utekelezaji wake utategemea zaidi mazingira ya wakati husika. Na kubadili mwelekeo wa mkakati ni sehemu ya mafanikio ya mkakati husika.

Kwahiyo, uamuzi wa watu kutojitokeza mtaani kuandamana baada ya kuona kila dalili kuwa kuna mtu ana kiu ya damu zao ulikuwa uamuzi wa busara. Ulipaswa kuwa sehemu ya mikakati ya maandamano hayo.

Kwenye mikakati ya operesheni za kishushushu, kwa mfano, miongoni mwa masuala yanayoangaliwa wakati wa kuandaa operesheni ni “if things go wrong.” Yaani iwapo mambo yatakwenda kinyume na matarajio. Na hapo mkakati unazaa “mpango mbadala” (Plan B).

Muda huu ambapo baadhi ya watu wanaweza kuwa wamehitimisha kuwa wazo la maandamano halikufanikiwa, tungeweza kuwa tuna vilio vikubwa iwapo baadhi ya wenzetu wangeweka kando busara na kujiingiza mtaani na hatimaye kujeruhiwa au kuuwawa.

Haipaswi kulaumiana kuwa “watu wamemwangusha Mange” kwa sababu kimsingi maandamano hayo yalikuwa kwa ajili ya kila Mtanzania anayeitakia mema nchi yetu. Having said that, Mange anastahili pongezi nyingi kwa jitihada kubwa alizofanya kuja na wazo hilo na kulihamasisha kwa nguvu kubwa kabisa.

Kama kuna mapungufu katika mikakati ya maandalizi ya maandamano hayo basi ilikuwa huku ughaibuni. Nadhani kilichochangia kujitokeza kwa watu wachache ni kukosekana “uongozi” katika nchi husika.

Kwamba, watu walitarajiwa wajisukume wenyewe kwenda palipo na ubalozi wa Tanzania katika nchi husika. Kijiografia, mtu anayeishi Uskochi, kwa mfano, pengine ingemlazimu alale London ili aweze kushiriki maandamano hayo saa tatu asubuhi. Kwahiyo, laiti kungekuwa na “uongozi” basi labda ingekubaliwa kuwa badala ya waandamanaji wote kukutana London, ziwepo sehemu nyingine kwa Uskochi, Wales na Eire ya Kaskazini.

Nimeandika kwenye kichwa cha habari kuwa dhamira ya maandamano hayo imefanikiwa. Naam, imefanikiwa kwa sababu kuu mbili. Kwanza, ujumbe umemfikia Magufuli bila hata kuandamana. Na ikumbukwe kuwa ile nguvu kubwa iliyotumika kudhibiti maandamano hayo inamaanisha mabilioni ya shilingi yametumika katika kipindi hiki ambapo serikali ya kidikteta inakabiliwa na hali ngumu mno kifedha.

Pili, soma nukuu hii kutoka kwenye makala niliyoitafsiri kutoka gazeti la kimataifa la Africa Confidential [emoji117]Jarida Maarufu la Kimataifa Lachambua Ubabe wa Magufuli, Maandamano Na "Lamfagilia" Mange ~ Kulikoni Ughaibuni

Haitojalisha hata kama hakuna mtu atayejitokeza kuandamana Aprili 26. Kutoka umbali wa kilomita 26,000, Kimambi tayari ameweza kufanya zaidi ya kutikisa mkia wa chui kwa kutumia simu ya mkononi tu. Na laiti ikitokea asalimisha yeye mwenyewe, mara moja kukamatwa kwake kutakuwa tukio kubwa kabisa litakaloiweka Tanzania kwenye macho na masikio ya dunia nzima.

Naam, Mange amemudu “kumpelekesha” Magufuli na serikali yake nzima, sio kwa kutumia silaha, sio kwa kutumia vitisho, sio kwa kutumia kitu kingine chochote kile zaidi ya POSTS ZA INSTAGRAM. Yaani ni kama Mange ameua tembo kwa ubua. Kafanikiwa kumtetemesha Magufuli mpaka naambiwa huko Dodoma kwenye maadhimisho ya kashindwa kusalimia kwenye gari la wazi.

Sijasikia tathmini ya Mange kuhusu maandamano hayo lakini I hope hatoishia kudhani kuwa Watanzania wamemwangusha kwa vile hawakuingia mitaani kama ilivyokusudiwa.

Kadhalika natumaini hatokata tamaa hasa ikizingatiwa kuwa kwa sie wenye uelewa wa masuala haya, dhamira yake ya maandamano imefanikiwa kwa kiasi kikubwa.

Kamwe katika historia ya Tanzania hakujawahi kutokea mtu mmoja kuwa na nguvu alizonazo Mange muda huu kiasi kwamba “anamwendesha Magufuli kwa rimoti.” Kuna msemo mmoja kwamba “it is the first to act who controls the game.” The first to act alikuwa Mange na idea ya maandamano.Na kwa hakika amemudu kui-control hiyo game mpaka mwisho.

Naam, maandamano hayakutokea yalivyokusudiwa lakini ujumbe umefika. Magufuli ana hofu kubwa zaidi ya alivyokuwa kabla ya jana.

Itakuwa kosa kubwa sana kuachana na jitihada hizi. Nyerere na wenzake walipoanza mapambano dhidi ya mkoloni hawakufanikiwa kwa siku moja. Hata mtoto akizaliwa haanzi kutembea siku hiyohiyo. Ingekuwa miujiza kama maandamano yangefanyika nchi nzima na Magufuli kuamua kujiuzulu kwa hiari yake.Hii kitu inahitaji jitihada endelevu.

Lakini pengine kubwa zaidi ni haja ya ushirikiano miongoni mwa watu wenye nia ya dhati ya kuung’oa udikteta wa Magufuli. Kila mtu akifanya kivyake, sio tu itamwia rahisi dikteta huyo kuzima jitihada husika bali pia uwezekano wa mafanikio utakuwa mdogo. Umoja ni nguvu.

Nihitimishe makala hii kwa kumpongeza Mange kwa mafanikio ya kihistoria katika suala hili.Ujumbe umefika, and that’s all that matters. Maandamano yalipaswa kuwa symbolic tu, na nina uhakika kuwa mamilioni ya Watanzania wameandamana kimoyomoyo. Changamoto kubwa sasa ni kuhakikisha kuwa kiu ya Watanzania kuung’oa udikteta haipotei.

Naam, watadhihaki kuwa maandamano hayajatokea lakini kile ambacho hawatosema ni kwamba “badala ya wananchi kuandamana, polisi na jeshi ndo walioandamana” tena sio bure bali kwa gharama kubwa kwa serikali iliyo taaban kifedha.
View attachment 758277

Chanzo: “Tathmini: Dhamira Ya ‘Maandamano Ya Mange’ Imefanikiwa” @Chahali

Watanzania sasa wana moja KICHWANI. Jeshi letu limejenga Taswira ambayo haitafutika katika harakati za kupigania haki. Vita vya MAJI MAJI wananchi walitumia MAJI kuzuia RISASI kwa kuwa walijua wakitoka kupambana watakutana na RISASI. Kwa TASWIRA ya Siku ya maandamo ambayo hayakufanyika WATANZANIA sasa wana moja kichwani, kwa sasa Watanzania ni wamoja kuliko tunavyofiria.
 
Kafanikiwa sana ,sitaraji kuona biashara haramu ya binadamu ikifanyika tens Tanzania.
Kafanikiwa nani? Mange au nani? Au unsongelea mada gani,! Biashara haramu ya binadamu inahusianaje na tathimini ya maandamano ya 26/4/2018!!!? Au umetoka chooni?
 
Serikali haijajibu hoja za wananchi, wananchi wamejibiwa kwa Vitisho, Watch Out.....

Bomu litalipuka soon

Ajira zimepotea na sukari kutoka 1800 hadi 2800

Serikali inachezea FAO la Kujitoa na Mafao ya wastaafu...

Wafanyakazi hawajaongezewa mishahara miaka 3

Uchumi umedorora..Shillini ni 2290 Tshs kwa Dola moja

A - Rais wa nchi ameacha Shughuli nyingi sana na kumfikiria Dr. Mange
B - Vyombo vyote vya Dola Vikahangaika na Dr. Mange
C - Vyombo ya Kimataifa vimejua hali halisi ya Tanzania
D - Serikali inapambana na wananchi, Je nani wanamuunga mkono huyo Jiwe?
E- Kwa nini aogope maandamano kama anafanya vitu vizuri kwa wananchi, Na wanampenda

Tupo Gizani: Maswali na hoja za wananchi bado kujibiwa

1 - 1.5 Trillioni ziko wapi?

2- Uhuru wa habari na demokrasia?

3 - Unafungia social media lakini hunyongi mafisadi (Eti kama china)

4 - Mafao ya Jamii - CCM na Serikali yake imetafuna

5- Sukari Jiwe akapandisha kutoka 1800 hadi 2800

6- Uchumi Jiwe ameua

7 - Ajira hakuna kabisa

Kejeli za vilaza wachache wa Lumumba, haziwezi kuzima hoja hizo hapo juu.

Vijana wa Lumumba wanalipwa special allowance ili kulinda mkate wa wachache, wanao tafuna keki ya taifa

-Wanajua fika kuwa hoja zao ni dhaifu Mbele ya Jukwaa hili la JF ---Ndio maana Bwana mkubwa analalamika Watanzania kuamini mitandao ya Jamii

Pili, Ni wazi kuwa Mikataba Feki walioingia CCM na Serikali yake ndio wanaibia nchi hii. Bado Wezi na Mabwanyenye wanaiba sana, kwa akili nyingi..Kwa sababu Mikataba bado ipo

CCM wakaingia mkataba na CHina na gesi ya Mtwara haina faida tena

Hivi waliingia mikataba mibaya ya kufilisi nchi si bado wako CCM

Au je, Mahakama ya Mafisadi imefunga wangapi? Vijana wa Lumumba, endelezeni njaa na kuwasaliti Watanzania.
Acha kupoteza lengo, eti maandamano ya kuutoa utawala Kihuni uliochaguliwa kidemokrasi,shenzi Sana, uliwahi ona wapi!
 
ukuta ilipofeli tulisema hayahaya ooh! imefanikiwa ujumbe umefika, dunia imejua(sijui hiyo dunia inajua mara ngapi)
eti huko nje ilikosa uongozi na marekani alipokuwepo kiongozi mwenyewe kilikosekana nini?

mnabwabwaja tu kama m...... koko.
 
Nimemuelewa sana huyu. Mtoa post. Cjui ndo chahali Mwenyewe. I understood you.
 
Huyu Kulikoni Ughaibuni (anayejifanya alikuwa usalama wa Taifa) ni mtu wa kumpuuza tu. Hana tofauti na Ansbert Ngurumo. Wote wanajiona wajanjaa wakati hawana kitu.
Sasa wewe Askari Kanzu, tufanye basi wewe ndio mjanja. Ila sasa sioni huo ujanja wako kwa namna yoyote.

Tuonyeshe basi ujanja wako sisi wana Jukwaa ili tukupe wewe sifa zote
 
Ukikubal kushindwa napo n uungwana

Kiukwel kashindwa,na kadhalilika.Tena n bora angeendelea kutumika nyuma ya keyboard kulko kujiuma uma alkojiuma ktk mahojiano

Kiukwel n kuwa wanaomtumia hawakufanya tathmin ya mwitikio wa watz ktk kuandamana.
So in short propaganda zilikuwa hazjazaa matunda ya kutufarakanisha kiasi cha kutaka kuipindua like arab spring in egypt, and the likes. View attachment 758321
Ndio wanavyotaka hawa wapuuzi. Huoni jengo lao la ufipa? Ndio wanataka wengine tusiyajali makazi yetu kama wao ambavyo hawajali makao yao makuu.
 
Sasa wewe Askari Kanzu, tufanye basi wewe ndio mjanja. Ila sasa sioni huo ujanja wako kwa namna yoyote.

Tuonyeshe basi ujanja wako sisi wana Jukwaa ili tukupe wewe sifa zote
Uko hapa ili "uonyeshwe"? Bahati mbaya sina hiyo hulka. Siko hapa "kujionyesha".
 
Alitaka kuondoa uongozi halali uliowekwa kwa kura za wananchi..

Hilo halikutimia...

Watanzania wanajua namna sahihi za kutatua Changamoto zao...

Anayefikiri kushinda kwa kutumia violence...

Afikiri Mara mbili...

Hili ni Somo tosha kwa yeyote...
Kweli mnajua kuziondoa changamoto uku kila Siku hspl hakuna madawa na watoto wanasomea kwenye mti?
 
MAANDAMANO YALIFANYIKA HAYAKUFANYIKA LAKINI UJUMBE "Magufuli Atoke" UMEWAFIKIA WALENGWA.

Baba anaweza kuwachapa watoto waogope kusema maovu yake nyumbani, lakini hufika siku ya siku mtoto mmoja kama Mange hutoka akasema baba Magufuli hafai kwa sababu hizi na zile.

Yawezekana watoto wengine bado wana woga na kutoka waandamane hawakuweza, lakini haina maana baba Magufuli hana kasoro anazodaiwa kuwa nazo.

Kwa baba mwenye busara atajua watoto wameyajua maovu yake aamue kuyarekebisha au aendelee kuwatisha watoto walio nyumbani na Mange amtafutie majina mabaya ya kumwita, kumbe hata watoto nyumbani wamechoka na maovu yake ni hawasemi siyo kwa sababu wanamheshimu, hapana ni kwa sababu wanaogopa kichapo.

Swali hawa watoto wataogopa kichapo kwa muda gani?
 
Ndio wanavyotaka hawa wapuuzi. Huoni jengo lao la ufipa? Ndio wanataka wengine tusiyajali makazi yetu kama wao ambavyo hawajali makao yao makuu.
Iraq, libya, Afghanistan

Sasa kama ndo demokrasia hufarakanisha watu waache wabak nayo wenyewe huko.

Wamekuwa wakigombanisha watu ktk nchi kwa migogoro ya kikabila,kidin,siasa na kisingizio cha demokrasia

Naona kwa Tanzania hadi sasa vichwa vinawachemka hawajapata cha kutugombanishia na wanahaha kila uchao.

Screenshot_20180427-221951.jpg
 
Maandamano yaliyopangwa kufanyika jana April 26, 2018 hayakutokea. Hilo halina mjadala.Na wala si la kushangaza. Kwa nguvu kubwa iliyoonyeshwa na vyombo vya dola juzi, ilihitaji zaidi ya ujasiri kwa mtu kujitokeza mtaani kuandamana.

Ni rahisi kuwalaumu Watanzania kuwa ni watu wa maneno zaidi kuliko vitendo. Japo hilo lina ukweli kwa kiasi flani — na lilipaswa kuzingatiwa wakati wa maandalizi ya maandamano hayo — lakini ukweli unabaki kuwa Magufuli alikuwa keshajiandaa “kunywa damu za waandamanaji.”

Sasa haihitaji uelewa japo mdogo wa tasnia ya mikakati kubaini kwamba kama unafahamu fika kwamba adui yako ametega mabomu njia flani, basi usipite njia hiyo.

Vita yoyote ile inahitaji mikakati. Na mikakati ya vita huwa flexible, kwa maana kwamba inaweza kubadilika muda wowote ule. Na mkakati hujumusha wapangaji wa mkakati husika na watekelezaji wa mkakati huo.

Katika suala la maandamano hayo, mhusika mkuu katika kupanga mikakati ya maandamano hayo alikuwa bloga wa Kitanzanian anayeishi nchini Marekani, Mange Kimambi.

Na watekelezaji wa mikakati ya maandamano hayo walikuwa Watanzania wote wanaoguswa na hali ilivyo huko nyumbani.

Na haijalishi jitihada kubwa kiasi gani zimetumika katika kuandaa mkakati, utekelezaji wake utategemea zaidi mazingira ya wakati husika. Na kubadili mwelekeo wa mkakati ni sehemu ya mafanikio ya mkakati husika.

Kwahiyo, uamuzi wa watu kutojitokeza mtaani kuandamana baada ya kuona kila dalili kuwa kuna mtu ana kiu ya damu zao ulikuwa uamuzi wa busara. Ulipaswa kuwa sehemu ya mikakati ya maandamano hayo.

Kwenye mikakati ya operesheni za kishushushu, kwa mfano, miongoni mwa masuala yanayoangaliwa wakati wa kuandaa operesheni ni “if things go wrong.” Yaani iwapo mambo yatakwenda kinyume na matarajio. Na hapo mkakati unazaa “mpango mbadala” (Plan B).

Muda huu ambapo baadhi ya watu wanaweza kuwa wamehitimisha kuwa wazo la maandamano halikufanikiwa, tungeweza kuwa tuna vilio vikubwa iwapo baadhi ya wenzetu wangeweka kando busara na kujiingiza mtaani na hatimaye kujeruhiwa au kuuwawa.

Haipaswi kulaumiana kuwa “watu wamemwangusha Mange” kwa sababu kimsingi maandamano hayo yalikuwa kwa ajili ya kila Mtanzania anayeitakia mema nchi yetu. Having said that, Mange anastahili pongezi nyingi kwa jitihada kubwa alizofanya kuja na wazo hilo na kulihamasisha kwa nguvu kubwa kabisa.

Kama kuna mapungufu katika mikakati ya maandalizi ya maandamano hayo basi ilikuwa huku ughaibuni. Nadhani kilichochangia kujitokeza kwa watu wachache ni kukosekana “uongozi” katika nchi husika.

Kwamba, watu walitarajiwa wajisukume wenyewe kwenda palipo na ubalozi wa Tanzania katika nchi husika. Kijiografia, mtu anayeishi Uskochi, kwa mfano, pengine ingemlazimu alale London ili aweze kushiriki maandamano hayo saa tatu asubuhi. Kwahiyo, laiti kungekuwa na “uongozi” basi labda ingekubaliwa kuwa badala ya waandamanaji wote kukutana London, ziwepo sehemu nyingine kwa Uskochi, Wales na Eire ya Kaskazini.

Nimeandika kwenye kichwa cha habari kuwa dhamira ya maandamano hayo imefanikiwa. Naam, imefanikiwa kwa sababu kuu mbili. Kwanza, ujumbe umemfikia Magufuli bila hata kuandamana. Na ikumbukwe kuwa ile nguvu kubwa iliyotumika kudhibiti maandamano hayo inamaanisha mabilioni ya shilingi yametumika katika kipindi hiki ambapo serikali ya kidikteta inakabiliwa na hali ngumu mno kifedha.

Pili, soma nukuu hii kutoka kwenye makala niliyoitafsiri kutoka gazeti la kimataifa la Africa Confidential [emoji117]Jarida Maarufu la Kimataifa Lachambua Ubabe wa Magufuli, Maandamano Na "Lamfagilia" Mange ~ Kulikoni Ughaibuni

Haitojalisha hata kama hakuna mtu atayejitokeza kuandamana Aprili 26. Kutoka umbali wa kilomita 26,000, Kimambi tayari ameweza kufanya zaidi ya kutikisa mkia wa chui kwa kutumia simu ya mkononi tu. Na laiti ikitokea asalimisha yeye mwenyewe, mara moja kukamatwa kwake kutakuwa tukio kubwa kabisa litakaloiweka Tanzania kwenye macho na masikio ya dunia nzima.

Naam, Mange amemudu “kumpelekesha” Magufuli na serikali yake nzima, sio kwa kutumia silaha, sio kwa kutumia vitisho, sio kwa kutumia kitu kingine chochote kile zaidi ya POSTS ZA INSTAGRAM. Yaani ni kama Mange ameua tembo kwa ubua. Kafanikiwa kumtetemesha Magufuli mpaka naambiwa huko Dodoma kwenye maadhimisho ya kashindwa kusalimia kwenye gari la wazi.

Sijasikia tathmini ya Mange kuhusu maandamano hayo lakini I hope hatoishia kudhani kuwa Watanzania wamemwangusha kwa vile hawakuingia mitaani kama ilivyokusudiwa.

Kadhalika natumaini hatokata tamaa hasa ikizingatiwa kuwa kwa sie wenye uelewa wa masuala haya, dhamira yake ya maandamano imefanikiwa kwa kiasi kikubwa.

Kamwe katika historia ya Tanzania hakujawahi kutokea mtu mmoja kuwa na nguvu alizonazo Mange muda huu kiasi kwamba “anamwendesha Magufuli kwa rimoti.” Kuna msemo mmoja kwamba “it is the first to act who controls the game.” The first to act alikuwa Mange na idea ya maandamano.Na kwa hakika amemudu kui-control hiyo game mpaka mwisho.

Naam, maandamano hayakutokea yalivyokusudiwa lakini ujumbe umefika. Magufuli ana hofu kubwa zaidi ya alivyokuwa kabla ya jana.

Itakuwa kosa kubwa sana kuachana na jitihada hizi. Nyerere na wenzake walipoanza mapambano dhidi ya mkoloni hawakufanikiwa kwa siku moja. Hata mtoto akizaliwa haanzi kutembea siku hiyohiyo. Ingekuwa miujiza kama maandamano yangefanyika nchi nzima na Magufuli kuamua kujiuzulu kwa hiari yake.Hii kitu inahitaji jitihada endelevu.

Lakini pengine kubwa zaidi ni haja ya ushirikiano miongoni mwa watu wenye nia ya dhati ya kuung’oa udikteta wa Magufuli. Kila mtu akifanya kivyake, sio tu itamwia rahisi dikteta huyo kuzima jitihada husika bali pia uwezekano wa mafanikio utakuwa mdogo. Umoja ni nguvu.

Nihitimishe makala hii kwa kumpongeza Mange kwa mafanikio ya kihistoria katika suala hili.Ujumbe umefika, and that’s all that matters. Maandamano yalipaswa kuwa symbolic tu, na nina uhakika kuwa mamilioni ya Watanzania wameandamana kimoyomoyo. Changamoto kubwa sasa ni kuhakikisha kuwa kiu ya Watanzania kuung’oa udikteta haipotei.

Naam, watadhihaki kuwa maandamano hayajatokea lakini kile ambacho hawatosema ni kwamba “badala ya wananchi kuandamana, polisi na jeshi ndo walioandamana” tena sio bure bali kwa gharama kubwa kwa serikali iliyo taaban kifedha.
View attachment 758277

Chanzo: “Tathmini: Dhamira Ya ‘Maandamano Ya Mange’ Imefanikiwa” @Chahali

wee jamaa unapoteza muda wako bure. kwanza Mange ameshasema hatajihusisha tena na kuhamasisha issue yoyote ya kujaribu kujifanya kutetea wanyonge kwa sababu amegundua sasa watanzania wamemdharau..angekuwa yeye kweli mwanaharakati angekuja aongoze maandamano hapahapa TZ...kwa hiyo amefeli campaign yake.
pili sijui kama wazungu wale wanajua kwamba ali fanya tendo la ndoa na baba yake aliyemzaa..na kuzaa kilicho haramu..naomba kama hawajafahamu hili basi wafahamishe kwa sababu ni tendo baya sana kufanywa na binadamu katika dunia hii...hata hao wazungu hawafanyi upuuzi huu kwa sababu wanajua ni laana mojakwamoja kutoka kwa bwana Mungu...kwa sheria za kiislamu mtu kama huyu anatakiwa apigwe mawe mpaka kufa na kutupwa jalalani kule ..alichozaa pia ni haramu..kwa hiyo hajafanikiwa..
tatu, unaposema Mange kapiga tembo kwa bua nadhani huelewi unachoongea bwana Chahali..hivi unajua maana ya vita ya kiuchumi...hivi unajua malaya kahaba kama yule anaweza tumiwa na mabeberu kuchafua maendeleo ya nchi...je unajuaje kama hajatumiwa na hao mabeberu ambao kimsingi hawafurahii maendeleo ya nchi kama zetu ambazo zinajaribu kufanya mapinduzi ya kiuchumi..unajuaje,au ulishirikiana nae katika shughuli hiyo na ndio maana una uhakika kuwa alikuwa peke yake na idea hii...sasa kwa sababu kama nchi haiwezi jua haraka nani yupo nyuma ya mpango huu na ndio maana ni lazima vyombo vya dola vijiandae kwa lolote..usidhani wote ni wajinga kama wewe..uliyekimbia nchi yako..
nakwambia watanzania hawatakaa kuwasikiliza watu kama nyinyi mnao bwabwaja mitandaoni mkijifanya mnatetea wanyonge kumbe mnajitafutia pesa rmharamu kwa kuhongwa na mabwana zenu huko ukaya...watanzania hawa msiwachukulie poa eti...watajifanya wanaku support mwisho wa siku utajikuta mwenyewe..na hii inaonyesha jinsi walivyo werevu..na ndio maana hamta kaa mfanikiwe na issue ya DUAL CITIZENSHIP kwa sababu tunajua wengine mmatafuta nafasi ili muweze kutumiwa zaidi na mataifa ya nje ili kuangamiza maendeleo ya nchi..tunajua mabeberu hao hawafurahii maendeleo ya nchi yetu..tunajua..kwa hili Mange hajafanikiwa..
nne , wewe.mwenyewe ni kama umerukwa na akili wala huji uelekee wapi kwa sababu Tanzania huwezi rudi kwa hiyo ni kama jitu lililopotea tu..kama wewe ni mkereketwa kweli wa nchi hii njoo ufanyie shughuli zako Tanzania..sio unapiga mayowe nchi za watu eti mkijifanya watetezi wa wanyonge. pumbaffff sana..kwanza hatukuelewi, unajifanya afisa usalama wa taifa ukiye asi bila kutuambia sababu hasa iliyokufanya uasi..tupe sababu...na kama huwezi kutupa sababu tukajiridhisha , basi tunatambua wewe sio mwenzetu na hatuhitaji msaada kutoka kwako wowote ulee...kama alivyo malaya wako Mange..nakwambia nyinyi mnaolilia kupata DUAL CITIZENSHIP, labda muende mtazipatia kule mbinguni..lakini sio duniani hapa...
tunatambua mzalendo yoyote mfia nchi ni lazima akae katika nchi yake bila wasiwasi wowote...wewe na bibi yako Mange ni vibaraka wa wazungu tuu..kaeni na nchi zenu mlizoamua kuishi ambazo mnaziona zina maana sana kuliko sehemu mlipozaliwa ..chukueni na ukoo zenu muishi huko..
mwisho,, utakapotueleza sababu zilizokufanya uasi Usalama wa Taifa na tukaridhika nazo labda ndipo tutakapoanza kukusikiliza..vinginevyo unafanya comedy tu mitandaoni..wenye muda wanasoma tuuu n kuzidharau..narudia kusema usiwachulie poa Watanzania...wana akili kuliko nyinyi vibaraka na mabwana zenu huko
 
Back
Top Bottom