NDAMANDOO
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 253
- 124
Wadau nimetembele kiwanda cha TATC-NYUMBU, kumbe watanzania tunauwezo mkubwa sana wa kupunguza gharama za ujenzi wa nyumba kwa kutumia technologia ya kisasa zaidi ya kutengeneza machine za kufyatulia tofali zinazotumia cement kidogo na imara zaidi. ingia hapa utaona zaidi. TANZANIA AUTOMOTIVE TECHNOLOGY CENTRE » Building & Infrastructure