Mwaka 2013 umeanza kwa kuporomoka kwa CHADEMA kisiasa kutokana kwa kushindwa kwa uongozi wa chama husika kuanzisha hoja zenye mshiko kwa maendeleo ya TZ. CHADEMA imejikuta ikijikita katika siasa za majungu, uzushi, manung'uniko,kufukuzana, uwongo, uzandiki pasipo kuonyesha dalili zozote za kumkomboa mtanzania kifikra na kimaendeleo.
Hali ya CHADEMA kisiasa imezidi kuwa mbaya katika ngazi za serikali za mitaa kutokana na tabia ya wabunge na madiwani wao kususia vikao vya mabaraza ya madiwani katika maeneo husika.
Hivyo wananchi wa kata zinazowakilishwa na CHADEMA wamekuwa ni wapweke kwa vile mawazo yao na vipaumbele vyao vimeshindwa kuwekwa katika mipango ya halmashauri kwani madiwani wao wameshindwa kushiriki katika vikao vya maendeleo. Pia wabunge wa CHADEMA wameshindwa kutetea na kulinda maslahi ya wananchi waliowachangua wawapo bungeni kwa vile wamekuwa ni vinara wa kuleta fujo na kususia bunge BADALA ya kuwakilisha vipaumbele vya wapiga kura wao.
Umetumia scientific research au assumtions?Scientific research inaonesha kwamba mwaka 2013 ccm imeloose sana kwani chaguzi mbalimbali zilizofanyika ccm imepoteza viti vyake ilivyokuwa inavimiliki na CHADEMA IME MAINTAIN,kwa mfano CHADEMA haijawahi kushinda kitongoji wala kijiji kule Lushoto,mwaka huu wameshinda vijiji vitano[vyote vilikuwa ccm],wakashinda udiwani kule Ludewa kata ya Mlangali iliyokuwa chini ya ccm awali,wakashinda tena udiwani kata ya daraja mbili kule Arusha ambayo awali ilikuwa chini ya ccm,wakashinda tena serikali za vijiji na vitongoji kule Kilosa na maeneo mengine mengi tu.NO RESEARCH NO RIGHT TO SPEAK.NAKUBATIZA KWA JINA NA M....RA