Taswira katika jiji la Dar kuelekea october 25

magode

JF-Expert Member
Joined
Oct 2, 2014
Posts
2,204
Reaction score
3,339
Hali mpaka uswahili ipo km hivi inavyoonekana pichani.
attachment.php

attachment.php

Kwa hali jinsi ilivyo,km ccm na magufuli watapata kura japo millioni 1 watakuwa wamejitahidi sana!
 
Attachments

  • 1445428224291.jpg
    1445428224291.jpg
    60.3 KB · Views: 3,029
  • 1445428250053.jpg
    1445428250053.jpg
    52.8 KB · Views: 2,992
Magufuli atosha.,huyu ndio Kiongozi wetu wa awamu ya Tano,mchapa kazi,mzalendo,mwadilifu na ni kiongozi wetu wa awamu ya 5.
 
Utakuwa umechagua sehemu ya kupiga picha au hujapita sehemu nyingine za jiji kwa sababu kuna sehemu zingine ni bendera ya CCM ndiyo inayotawala.
 
tarehe 25/10/2015 Nitasoma hitima dhidi ya ccm Dar es salaam
 
Magufuli atosha.,huyu ndio Kiongozi wetu wa awamu ya Tano,mchapa kazi,mzalendo,mwadilifu na ni kiongozi wetu wa awamu ya 5.
Km utapata fursa ya kumuuliza mwenyekiti wa ccm-Taifa,kabla ya jumapili kwamba ccm itashinda mwaka huu!!?? Ukipata jibu,njoo tena uandike hapa. Ni rahisi zaidi kwa ngamia kupita ktk tundu la sindano kuliko ccm kushinda uchaguzi mwaka huu.
 
hiyo ni kinondon moscow maeneo ya magengen!!!!
 
Attachments

  • 1445430515663.jpg
    1445430515663.jpg
    41.6 KB · Views: 718
Utakuwa umechagua sehemu ya kupiga picha au hujapita sehemu nyingine za jiji kwa sababu kuna sehemu zingine ni bendera ya CCM ndiyo inayotawala.
ukiona mahali zimetapakaa bendera za ccm,ujue wameanza kuzitoa kwanza bendera za ukawa..! Ccm wanatumia mabavu na fedha kuweka bendera zao.
 
heshima sana kwa vijana wa bodaboda, mishe mishe za maisha zimewafanya wawe na msimamo usioyumba
 
Tutachukua uongozi wa nchi asubuhi. Taifa linaenda kukombolewa..!
 
Huku kwetu pia hali ni hivo hivo japo ni makao makuu ya chama ila bendera za chadema zinapepea hadi raha
 
Utakuwa umechagua sehemu ya kupiga picha au hujapita sehemu nyingine za jiji kwa sababu kuna sehemu zingine ni bendera ya CCM ndiyo inayotawala.

ndo uziweke na ww hizo bendera cyo kuleta maneno ya kanga hapa wakati ccm tunaangamia mkuu
 
Magufuli atosha.,huyu ndio Kiongozi wetu wa awamu ya Tano,mchapa kazi,mzalendo,mwadilifu na ni kiongozi wetu wa awamu ya 5.

Mbona yeye Magufuli anataka kuwa rais wa awamu ya 7, hiyo ya 5 mnamlazimisha ninyi...
 
Acheni ujinga nyinyi manyumbu wa CCM. Muadilifu awe Magufuli?? Hawezi kuwa na sifa hiyo kamwe. Mtu anazunguka ktk campaign zaidi ya mwezi lkn anaendelea kupokea mshahara na marupurupu yote ya uwaziri. Anayebisha alete fact juu ya hili. Pambafu zenu nyinyi.
 
Hii nayo hoja kweli kweli..!
 
Back
Top Bottom